Hillary Clinton akosoa sera ya mambo ya nje ya Obama

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,361
Reaction score
6,080
Hilary clinton anaamini Obama amefanya makosa mpaka ISIS ikajiunda kwa kushindwa kumdhibiti bashar alsadr.Na anahofu kwamaba ISIS wataeneza vita kutoka middle east hadi ulaya na Marekani. pia anaunga mkono israel kujilinda na kusema makosa yote Hamas wanawajibika nayo.
Here are more details:

Hillary Clinton criticizes Obama's foreign policy 'failure'; strongly defends Israel

'Great nations need organizing principles, and "Don't do stupid stuff" is not an organizing principle,' the former secretary of state says

Hilary Clinton: the "failure" of the United States to those protesting the regime of Syrian President Bashar al-Assad led to the rise of al-Qaida-inspired groups like ISIS, the militants currently creating havoc in Syria and Iraq. "The failure to help build up a credible fighting force of the people who were the originators of the protests against Assad - there were Islamists, there were secularists, there was everything in the middle - that failure left a big vacuum, which the jihadists have now filled,"

The former first lady and U.S. senator said she fears the jihadist groups currently gaining strength in the Middle East will expand their sights on Europe and the United States.
"One of the reasons why I worry about what's happening in the Middle East right now is because of the breakout capacity of jihadist groups that can affect Europe, can affect the United States," "Jihadist groups are governing territory. They will never stay there, though. They are driven to expand. Their raison d'etre is to be against the West, against the Crusaders, against the fill-in-the-blank - and we all fit into one of these categories. How do we try to contain that? I'm thinking a lot about containment, deterrence, and defeat."

Commenting on another Middle East conflict the war in Gaza between Hamas and Israel - Clinton strongly defended Israel.
View gallery

Hilary Clinton: "I think Israel did what it had to do to respond to the rockets. "Israel has a right to defend itself. The steps Hamas has taken to embed rockets and command-and-control facilities and tunnel entrances in civilian areas, this makes a response by Israel difficult." the deaths of civilians, including Palestinian children, are "dreadful," but "ultimately the responsibility rests with Hamas."
"It's impossible to know what happens in the fog of war. Some reports say, maybe it wasn't the exact U.N. school that was bombed, but it was the annex to the school next door where they were firing the rockets. And I do think oftentimes that the anguish you are privy to because of the coverage, and the women and the children and all the rest of that, makes it very difficult to sort through to get to the truth."There's no doubt in my mind that Hamas initiated this conflict,. "So the ultimate responsibility has to rest on Hamas and the decisions it made."

Clinton was asked about President Obama's recently-coined slogan ("Don't do stupid s---") to describe his administration's foreign-policy doctrine.
"Great nations need organizing principles," Clinton replied, "and ‘Don't do stupid stuff' is not an organizing principle."

president-obama-attends-cabinet-meeting-20120131-082645-911.jpg

SOURCE:
Yahoo news
 
Kutetea Israel ni anafanya kampeni za kuwa rais bila kupata baraka za jews marekani huwezi kua rais Marekani
 
Sikutegemea kama huyu mama angekuwa bogus kiasi hiki,regardles religion factor and hatred of islam in the middle east you can never legalize the killing of thousand innocent civilian,and just claim that israel have the right to do so,na kuhusu kundi la isis its u.s and saudi arabia who fund this group to overthrow shia's regime in iraq,
(You need to dig deep to knw this)
I will be back...
 
ulitegemea kitu gani kutoka kwa myahhudi mwenzao?
 
Huyu mama asubiri kugegedwa tu na bill clinton mambo ya siasa ayaache tu.
 
Mkuu Jews wameikamata USA, Bila kupata Baraka za IPAC huwezi kuwa Rais... Hiyo ni Kampeni kama zingine tu! Mwenyewe anajua kuwa ISIS ni kundi lililoanzishwa na Jews na inafadhiliwa na Serikali ya Marekani... Air Strikes ni Kiini macho tu Mkuu lakini Viongozi wote wa ISIS wako salama na hupewa Taarifa!!! Unafikiri ISIS wanashindwa kuwashughulikia wale Christians wachache waliopelekwa milimani kwaajili ya Propaganda? Hao wameishi hapo Baghdad kwa miaka mingi sana Mkuu, Sadaam Hussein aliwapa hata Uwaziri Mkuu.... tatizo liko pale pale kuwa tunalishwa uongo mwingi na sisi bila kuchunguza wala kuhoji tunaishia kuamini na kushabikia crimes against humanity
Sikutegemea kama huyu mama angekuwa bogus kiasi hiki,regardles religion factor and hatred of islam in the middle east you can never legalize the killing of thousand innocent civilian,and just claim that israel have the right to do so,na kuhusu kundi la isis its u.s and saudi arabia who fund this group to overthrow shia's regime in iraq,
(You need to dig deep to knw this)
I will be back...
 
Mkuu Jews wameikamata USA, Bila kupata Baraka za IPAC huwezi kuwa Rais... Hiyo ni Kampeni kama zingine tu! Mwenyewe anajua kuwa ISIS ni kundi lililoanzishwa na Jews na inafadhiliwa na Serikali ya Marekani... Air Strikes ni Kiini macho tu Mkuu lakini Viongozi wote wa ISIS wako salama na hupewa Taarifa!!! Unafikiri ISIS wanashindwa kuwashughulikia wale Christians wachache waliopelekwa milimani kwaajili ya Propaganda? Hao wameishi hapo Baghdad kwa miaka mingi sana Mkuu, Sadaam Hussein aliwapa hata Uwaziri Mkuu.... tatizo liko pale pale kuwa tunalishwa uongo mwingi na sisi bila kuchunguza wala kuhoji tunaishia kuamini na kushabikia crimes against humanity

Killing of thousands innocent palestine civilian against the killing of 58 israel soldier out of 61 then they call it a war,what a shame?
 
Waliua 20 Millions Australian Aborigines na mpaka leo hawajahi kuomba msamaha... Honestly, watu wengi hawajui kinachoendelea: Ukweli ni kuwa hao wanajeshi walio uawa ni wale wakereketwa waliochukuliwa kutoka kwenye mataifa mbali mbali na wengi waliuawa na majeshi ya Israel ili kuhalalisha mauaji kwa wapalestina !!! Give ability n military capabilities of USA in collaboration with Israel MOssad walikuwa na uwezo wa kuendesha Covert Operations ya kuwashughulikia Hammas Pekee bila kuwagusa Innocent Civilians!!! Ajabu ni Kuwa walikuwa wanaona tunnels zikijengwa, walishiriki ujenzi wa hizo tunnels !!! inabaki kuwa series of World untold Stories ....

Huyo mama anawatetea ndugu zake na Obama mama yake ana asili ya wayahudi. Kwa hiyo hao ni wajomba zake.
 
Mkuu Jews wameikamata USA, Bila kupata Baraka za IPAC huwezi kuwa Rais... Hiyo ni Kampeni kama zingine tu! Mwenyewe anajua kuwa ISIS ni kundi lililoanzishwa na Jews na inafadhiliwa na Serikali ya Marekani... Air Strikes ni Kiini macho tu Mkuu lakini Viongozi wote wa ISIS wako salama na hupewa Taarifa!!! Unafikiri ISIS wanashindwa kuwashughulikia wale Christians wachache waliopelekwa milimani kwaajili ya Propaganda? Hao wameishi hapo Baghdad kwa miaka mingi sana Mkuu, Sadaam Hussein aliwapa hata Uwaziri Mkuu.... tatizo liko pale pale kuwa tunalishwa uongo mwingi na sisi bila kuchunguza wala kuhoji tunaishia kuamini na kushabikia crimes against humanity

Ya, that is the big problem. tunaburuzwa buruzwa tu.
 
Sikutegemea kama huyu mama angekuwa bogus kiasi hiki,regardles religion factor and hatred of islam in the middle east you can never legalize the killing of thousand innocent civilian,and just claim that israel have the right to do so,na kuhusu kundi la isis its u.s and saudi arabia who fund this group to overthrow shia's regime in iraq,
(You need to dig deep to knw this)
I will be back...
Mama anaota kama takuwa Rais wamarekani, anadhani siku hizi USA kuna ujinga ule wazamani kama uko upande wa Isreal utashinda uchaguzi wa USA, ingekuwa vile angeshinda Mitt Romney:cool2:
 
Siungi mkono mauaji ya wale watoto na kina mama wa kipalestina ila na nyie mnaotoka povu kuwatetea isis na hamas nashindwa kuwaelewa, mnataka kusema wanachofanya hamas kurusha rocket ndani ya israel ni halali?
Hata mi ningekua muisrael ningefanya walichofanya au zaidi ya hapo.
Pole sana hivi South Africa wakati wa ukoloni wangenyamaza kina mandela wangepata uhuru, au Mgabe bila ya vita angemtoa Smith? Sa unapo ongela Hamas lazima ujuwe Hamas si wachokozi wanagombania haki zao, kama Israel ataondoka kukalia nchi sio yake kutakuwa hakuna vita, afu nani anaye wadanganyeni Israel sio mashetani? Hivi taifa la Mungu mnalosema nyie wajinga lolo linaweza kuwauwa watu wasio na hatia, sijui ujinga huu mtauficha wapi. Hii bibilia inawapotezeni kewli kweli, sababu muandikaji bibilia ni wale wajukua wa Yokub walio muasi Mungu:cool2:
 
Wewe huna na Huruma na wapalestina wameuwawa maelfu sababu hawana wa kuwasaidia Hamas yeye anawafanya kuwa kinga-HUMAN SHIELD NDIYO MAANA WANAKUFA KAMA NZIGE
Killing of thousands innocent palestine civilian against the killing of 58 israel soldier out of 61 then they call it a war,what a shame?
 
Pole sana hivi South Africa wakati wa ukoloni wangenyamaza kina mandela wangepata uhuru, au Mgabe bila ya vita angemtoa Smith? Sa unapo ongela Hamas lazima ujuwe Hamas si wachokozi wanagombania haki zao, kama Israel ataondoka kukalia nchi sio yake kutakuwa hakuna vita, afu nani anaye wadanganyeni Israel sio mashetani? Hivi taifa la Mungu mnalosema nyie wajinga lolo linaweza kuwauwa watu wasio na hatia, sijui ujinga huu mtauficha wapi. Hii bibilia inawapotezeni kewli kweli, sababu muandikaji bibilia ni wale wajukua wa Yokub walio muasi Mungu:cool2:
Mugabe na Madiba hawakutuma askari wao kuua raia au kujilipua ktk maeneo ya raia. Mpigania uhuru hawezi kurusha maroketi ovyo ovyo.Wala Madiba na Mugabe hawakuwahi kusema kwamba watawaondoa makaburu duniani.
 
Marehemu Gaddafi wakati akiwa kwenye ziara yake Uganda naye alifanya Ujinga wa kuikashfu Biblia na kusema maneno mengi ya kejeli dhidi ya Ukristo,Lakini mimi nasema hivi pamoja na maneno mengi ya kukejeli Biblia hakuwezi kubadirisha historia mtabaki kubwabwaja tu na ukweli utabaki pale-pale.
Pole sana hivi South Africa wakati wa ukoloni wangenyamaza kina mandela wangepata uhuru, au Mgabe bila ya vita angemtoa Smith? Sa unapo ongela Hamas lazima ujuwe Hamas si wachokozi wanagombania haki zao, kama Israel ataondoka kukalia nchi sio yake kutakuwa hakuna vita, afu nani anaye wadanganyeni Israel sio mashetani? Hivi taifa la Mungu mnalosema nyie wajinga lolo linaweza kuwauwa watu wasio na hatia, sijui ujinga huu mtauficha wapi. Hii bibilia inawapotezeni kewli kweli, sababu muandikaji bibilia ni wale wajukua wa Yokub walio muasi Mungu:cool2:
 
Mkuu Jews wameikamata USA, Bila kupata Baraka za IPAC huwezi kuwa Rais... Hiyo ni Kampeni kama zingine tu! Mwenyewe anajua kuwa ISIS ni kundi lililoanzishwa na Jews na inafadhiliwa na Serikali ya Marekani... Air Strikes ni Kiini macho tu Mkuu lakini Viongozi wote wa ISIS wako salama na hupewa Taarifa!!! Unafikiri ISIS wanashindwa kuwashughulikia wale Christians wachache waliopelekwa milimani kwaajili ya Propaganda? Hao wameishi hapo Baghdad kwa miaka mingi sana Mkuu, Sadaam Hussein aliwapa hata Uwaziri Mkuu.... tatizo liko pale pale kuwa tunalishwa uongo mwingi na sisi bila kuchunguza wala kuhoji tunaishia kuamini na kushabikia crimes against humanity

umenipa ufahamu mkuu!!!
 
Hongera kwa kuwa na chuki dhidi ya nchi za Magharibi na Israel,Australia yenyewe hailalamiki lakini Waarabu koko ndiyo wamenunua kesi Hongera sana.
Waliua 20 Millions Australian Aborigines na mpaka leo hawajahi kuomba msamaha... Honestly, watu wengi hawajui kinachoendelea: Ukweli ni kuwa hao wanajeshi walio uawa ni wale wakereketwa waliochukuliwa kutoka kwenye mataifa mbali mbali na wengi waliuawa na majeshi ya Israel ili kuhalalisha mauaji kwa wapalestina !!! Give ability n military capabilities of USA in collaboration with Israel MOssad walikuwa na uwezo wa kuendesha Covert Operations ya kuwashughulikia Hammas Pekee bila kuwagusa Innocent Civilians!!! Ajabu ni Kuwa walikuwa wanaona tunnels zikijengwa, walishiriki ujenzi wa hizo tunnels !!! inabaki kuwa series of World untold Stories ....
 
Mwanajeshi mstafu hivi wewe u commandor wako ulipokuwa vitani ulikuwa unajifyatulia tu risasi bila kuwa na lengo la kumjua nani adui yako? Kama ni hivyo pole sana.

Tatizo lenu nyie wakristo mnasema Yesu ni Mungu lakini Yesu anasema vingine kabisa, msikie Yesu alisema vipi; 'YOU SHALL WORSHIP THE LORD YOUR GOD AND SERVE HIM ONLY.'" (Luke 4:8) - Yani hapo ni clear kabisa Don’t worship Jesus who was a man, worship the only true God(Allah), just like Muslims.

Au Yesu na yeye alikuwa mlevi kama Paulo? sidhani, navyo fahamu mimi Yesu hawezi kusema uwongo hata siku moja:cool2:

Turudi kidogo kwenye hii mada, uliona wapi warabu waluwana wao kwa wao miaka ya nyuma, kabla ya kumfanya USA rafiki yao haswa pale walipo mkaribisha Iraq, ukiweza ni jibu hapo tamini kweli una akili.

Ujinga ni mzigo mzito sana pole yako
 
Back
Top Bottom