Hillar Clinton Speach!

Hillar Clinton Speach!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
Waziri wa mambo ya ndani mama Hillar Clinton speach in Geneva is Muhamary Gaddaf has to step down mara moja or action will take place! News from Aljazeera!
 
Marekebisho kdg kwa thread yako,
Ni waziri wa mambo ya nje wa USA.
Waziri wa mambo ya ndani (HOMELAND SECRETARY) ni: Robert Gates
Waziri wa mambo ya nje (SECRETARY OF STATE) ndie: Hillary Clinton
Dikteta wa Libya jina lake la kwanza ni Muammar,
 
Nadhani hili Neno Speach si sahihi labda kama alikuwa anaimanisha Speak ama Speech.
 
Mh.Sumaye akifunga moja ya vikao vya bunge enzi zake aliwahi kusema watanzania tupende kutumia kiswahili na si 'KISWA-NGLISH'. Alimaanisha jambo muhimu, nadhani mkuu Ndallo kapitiwa kidogo leo.
 
Marekebisho kdg kwa thread yako,
Ni waziri wa mambo ya nje wa USA.
Waziri wa mambo ya ndani (HOMELAND SECRETARY) ni: Robert Gates
Waziri wa mambo ya nje (SECRETARY OF STATE) ndie: Hillary Clinton
Dikteta wa Libya jina lake la kwanza ni Muammar,

Mkuu nami nirekebishe hapo kidogo

Robert Gates ni waziri wa Ulinzi wa USA
Waziri wa mambo ya ndani (Homeland security) ni Janet Napolitano
 
Twashukuru kwa marekebisho lukuki maana ukisoma haraka haraka unaupata ujumbe ingawa unamakosa kibao
 
na ujumbe ndiyo wa muhimu. Ghadafi maust go, hata kama ni malaika au mtume, 41 yrs in power it is too much hata kama unagawia watu kila kitu bure, demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa must take its course.
 
yes nakubaliana na wewe Utingo kwamba Ghadafi lazima aondoke
wananchi wameshamchoka, tena angeachia kwa hiyari tu nadhani angepata heshima vizuri sana
sasa atadhalilika bure na kuishia kukimbilia nchi za nje( ingawa yeye amekana kuikimbia nchi yake)
 
hehehe....asante wakuu Rev Fr Masanilo na Mpevu......huyu jamaa anaonekana kakurupuka kidogo...labda alikuwa anataka kuwa wa kwanza kutoa news.
 
Mshenzi sana huyo dictator..aondoke au aondolewe, hana hata chembe ya ubinadamu..
Maiti za Walibya zilivyotapakaa kwenye mahospitali na mitaani..yaani ni disaster!! alafu anawaita mende/panya
 
Waziri wa mambo ya ndani mama Hillar Clinton speach in Geneva is Muhamary Gaddaf has to step down mara moja or action will take place! News from Aljazeera!
Hatujamtendea haki Ndallo. Hata Gaddaf inatakiwa iandikwe Gaddafi. Nafikiri sasa marekebisho yamekamilika!
 
Jamani pamoja na marekebisho yote ambayo kwa kiswahili tunasema ULIMI HAUNA MFUPA lakini topic ni kua je huyu Gaddafi abaki au aondoke? Natumaini ujumbe umefika sisi ni binaadamu!
 
Back
Top Bottom