cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 351
Bujibuji nadhani umedanganya sie tunajua ni ya Simon Jatuna agent wa serengeti na msindikaji mkubwa wa nafaka hapa Mbeya. Jamaa ni mjasiliamali mzuri na kajenga kitu kizuri binafsi nampongeza ila sio five star
Wakuu hii Five Star Hotel iliyoko Mbeya ni Mali ya nani?
five start hotel ni hizi hapa chini tanzania
1. Kempinski think now days four season - dar
2. Serena - movenpick - dar
3. Novotel mt meru - arusha
kina vigezo vingi sana ili uwe 5star. Ukubwa wa room, restaurant (italian, indian, continental na pia fringe benefits kwa staff, how are they getting paid.
Mbeya huwezi kupata hata 2 start kwani hotel kama seacliff ni three star kwa vigezo vya kimataifa
hapana ni yule mpanda matorori ya farasi canadaIn red ni huyu wa mizengwe ITV
Imeshaanza kufanya kazi kitambo sasa, mimi nimekaa hapo mwezi wa tano mwaka huu.Mid or late this very December!
This is not a five star hotel by any acceptable standards, it could range between 1-3 stars
fyuuuuuuuuuuuuu
Hotel ni ya jamaa anaitwa Simon, agent wa bia za Serengeti Mbeya, Hotel hiyo haina hadhi ya five star acha kupotosha umma.
Katika maana ya gorofa au??? hebu kwanza tuelimishwe hiyo Five star inataka nini hasa kiwepo? maana naamini Gest house, logde, In na hotel vinaweza wakati mwingine kwa sisi watanzania tukavitumia vyote kwa maana moja ingali ni vitu tofauti!!! lakini mimi binafsi nampongeza sana Jamaa yangu Simon kwa ubunifu Mkubwa akifuatiwa na mkulu, mbeya hoyee eeeeeee , swala la kuhoji ni ya nani ni tuwaachie maskini kwani ndiyo kwa sasa waliojirani zaidi na mtu anaitwa "Majungu" maskini na kwa sasa umskini mbeya ni Sifa ya hata kufikia kujivunia.
yupi huyo inamzungumzia au yule wa magogoni (miraji mkw.ere)
In red ni huyu wa mizengwe ITV
Unajaribu kuelimisha watu lakini inaonekana hujui hata unachoandika. Hakuna categorization ya hoteli inayotumia neno START. Its is STAR.Five start hotel ni hizi hapa chini Tanzania
1. Kempinski think now days four season - Dar
2. Serena - Movenpick - Dar
3. Novotel Mt Meru - Arusha
Kina vigezo vingi sana ili uwe 5star. Ukubwa wa room, restaurant (Italian, Indian, continental na pia fringe benefits kwa staff, how are they getting paid.
Mbeya huwezi kupata hata 2 start kwani hotel kama seacliff ni three star kwa vigezo vya kimataifa
Wakuu,
Mbona nasikia ni mali ya Sugu na Tyson wa UWT (Bhanji) kuna ukweli hapo kweli?