strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Baki na kono lako la sweta sisi wakurya kutahiliwa lazima tena bila ganzi na baada ya kutahiliwa unamwagiwa spiriti kama lita moja hivi kudadadeki!
Habari zenu wana JF??
Naam kama kawaida Leo mida ya asubukhi nikiwa naelekea mjini nikitokea kivule nimekutana na kundi kubwa la watu kabila la wakurya. Kundi hilo baada ya kufatilia vizur nikagundua kuwa wanatoka katika mila zao za kutaili vijana wa kiume
Kinachonishangaza hapa ni kuwa kwann walishidwa kwenda kufanyia hizo mila zao katika mikoa yao yenye kuona jambo hilo ni kawaida tu.
Manake huku Dsm naona wanaleta usumbufu mkubwa barabarani wanakutisha na mapanga na kukufanyia vioja vingi tu, pia usiku ni usumbufu wakiwa wanampeleka huyo mtu wao kwenda kutailiwa kelele mwanzo mwisho watu hatulali kisa tohara.
wote tunalitambua hilo ila suala linakuja njia inayotumika kufanya tohara au unafikiri wote wanakatwa na mkasi hospitali kama wwsio primitive!! primitive ni wale wanaokaa na magovi!! Hata biblia inasisitiza wanaume kutahiri!! ndio ustaaarabu
mkuu mie mkasi siujui. nilipitia the traditional route. ina maumivu na raha yake!!wote tunalitambua hilo ila suala linakuja njia inayotumika kufanya tohara au unafikiri wote wanakatwa na mkasi hospitali kama ww
Umeathirika na nn? Kama umefanyiwa vurugu nenda kawaripoti sehemu husika, lakini hakuna taarifa zzt kuwa kuna vurugu, majeruhi au mauaji yanayotokea kutokana na sherehe hizo, acha woga hao sio panya rodi.Mwishoni umesema kuwa bila kuathili wengine sasa mbona wanatuathili ss na makelele yao pamoja na fujo zao???
Sasa wapo wenzako wanaotumia panga butu na ubaomkuu mie mkasi siujui. nilipitia the traditional route. ina maumivu na raha yake!!
Kama Una chuki na wakurya it is your own problem. Kuna sehemu Tz ambapo watu Fulani wanazuiliwa kuishi maisha Yao?Hio itakuwa zuga yao kufanya tohara kwa vijana wa kiume, hizo zitakuwa sherehe zao za kukeketa watoto wa kike.
Hao jamaa hawaelimiki hata wakija mjini wanaagiza vibibi vyao toka Tarime na Kenya kuwafanyia tohara vitoto vidogo visivyojielewa na hasa kipindi hiki cha likizo kwa wanafunzi.
hao tena mwisho , no commentSasa wapo wenzako wanaotumia panga butu na ubao
Kwa hiyo hapo unajiona ume urgue!!bora melo akutaje!!mkuu na imekuwaje wakakusanyika kiasi hicho yani ikafikia wameunda kitongoji na wakaanza kusambaza mila zao, wasilete ukabila kabisa, au wanataka kusambaza mila zao hapa, hivi kama kila Manila likifanya hivyo itakuwaje,, wachaga wote wa dsm wangekusanyika kula.krismas hapa ingekuwaje nanyie fanyeni hivyoo
*wakurya sasa hizo sifaa*
Acha wivu, mtaani mnapigwa vigodoro hadi uck sijui kumtoa mwali na mambo mengine ya kipuuzi hamsemi unakomalia wakurya ambao wanatimiza mila zao, halafu umewafuata mwenyewe maeneo hayo coz ndiko waliko wengi, miaka yote yanafanyika hayo lakini hakuna malalamiko, kama unaona kero hamia kimara au tandika au rudi kwenu ambako hakuna mila, kila mtanzania ana haki ya kufanya sherehe za kimila sehemu yyt kwa kufuata taratibu bila kuathiri watu wengine.
KWANZA MTOA MADA UJUE MWAKANI TUKIJALIWA SALAMA TUNAKUSUDIA KUFUNGUA KESI YA KIKATIBA KATIKA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUPINGA SERIKALI NA ASASI MBALI MBALI KUINGILIA MILA NA DESTURI ZA KUKEKETA WATOTO WA KIKE.
KATIKA MIAKA YA 90 NILIPINGA WATU WALIOKUWA WAKIBEZA TOHARA KWA WATOTO WA KIUME, MUDA SI MREFU WATAALAMU WA AFYA WAMEBAINISHA KUWA TOHARA KWA WANAUME NI MUHIMU SANA KWA AFYA ZA WANAUME NA WAKE/WAPENZI WAO. JE HILI HALIWEZI KUWA HIVYO PIA KWA KUKEKETWA KWA WATOTO WA KIKE?. TUTAENDA MAHAKAMANI.
video zipo youtube tafuta ujionee mwenyewehao tena mwisho , no comment
Hata wewe Mura.Walioamua kukeketa walikuwa na akili. Jiulize, iweje nchi kama Misri ndio iongoze kwa ukeketaji? Wa kale walikuwa na sababu za kufanya hivyo. Hiyo kesi nitachanga chochote mura. Fungua haraka.
Acha ulimbukeni unabashiri jambo we vipi
Alafu miafrika tupo radhi kuabudu mila za wazungu sana sasa utasema wakurya hawaelimiki kisa walikua wanakeketa?
Sio wakurya tu wanaokeketa makabila kibao yanakeketa
Na hao unaoamini wameelimika ngoja nikupe link uone kwamba bora wakurya wa Tanzania
Japan's Annual Penis Festival Is As Phallic As You'd Expect (PHOTOS) | The Huffington Post