Hili wanalolifanya Wakurya sio sawa kabisa

Hio itakuwa zuga yao kufanya tohara kwa vijana wa kiume, hizo zitakuwa sherehe zao za kukeketa watoto wa kike.
Hao jamaa hawaelimiki hata wakija mjini wanaagiza vibibi vyao toka Tarime na Kenya kuwafanyia tohara vitoto vidogo visivyojielewa na hasa kipindi hiki cha likizo kwa wanafunzi.
 
Acha wivu, mtaani mnapigwa vigodoro hadi uck sijui kumtoa mwali na mambo mengine ya kipuuzi hamsemi unakomalia wakurya ambao wanatimiza mila zao, halafu umewafuata mwenyewe maeneo hayo coz ndiko waliko wengi, miaka yote yanafanyika hayo lakini hakuna malalamiko, kama unaona kero hamia kimara au tandika au rudi kwenu ambako hakuna mila, kila mtanzania ana haki ya kufanya sherehe za kimila sehemu yyt kwa kufuata taratibu bila kuathiri watu wengine.
 
Kama wewe unaona wivu endelea kuwapeleka wanao hospitali Kutaili washonelewe manyuzi mwisho wa Siku mnaishia kwa Dr. Mwaka. Waaache vijana wapigwe kisu bila ganzi lkn utamu wake muulize dadako. Tafuta post ya Miss Natafuta alishasema Mziki/Utamu wa Mme mmoja wa Kikurya ni sawa na Wa..... 10. Pigeni ritungu mpaka kucheee
 
Hahah! watakuwa wanaweka kwenye ubao wanakata na panga..
Aroo hawa jamaa bado ni primitive
 
Mwishoni umesema kuwa bila kuathili wengine sasa mbona wanatuathili ss na makelele yao pamoja na fujo zao???
 
Kuleta athari kwa wengine barabaran ndivyo usumbufu wenyewe huo.
 
Acha ulimbukeni unabashiri jambo we vipi
Alafu miafrika tupo radhi kuabudu mila za wazungu sana sasa utasema wakurya hawaelimiki kisa walikua wanakeketa?
Sio wakurya tu wanaokeketa makabila kibao yanakeketa
Na hao unaoamini wameelimika ngoja nikupe link uone kwamba bora wakurya wa Tanzania
Japan's Annual Penis Festival Is As Phallic As You'd Expect (PHOTOS) | The Huffington Post
 
Sizani kama ùko sahihi kimawazo,kanga moko mbona hujawaongelea
 
Acha watahiliwe we kama unaona kero hama huko kwani asilimia 90 ya kivule ni Wakurya
 


Uu mrisya uuwe!! Kaa ifyo ifyo uwone kama utampata muke wa kwetu. Unabatukania mapapu setu. Uwe mchapani uuwe! Umenichafuwa ingoro yaane.
 
mkuu na imekuwaje wakakusanyika kiasi hicho yani ikafikia wameunda kitongoji na wakaanza kusambaza mila zao, wasilete ukabila kabisa, au wanataka kusambaza mila zao hapa, hivi kama kila Manila likifanya hivyo itakuwaje,, wachaga wote wa dsm wangekusanyika kula.krismas hapa ingekuwaje nanyie fanyeni hivyoo

*wakurya sasa hizo sifaa*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…