Hili Tunda nimeli Miss sana jamni

Hili Tunda nimeli Miss sana jamni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
1959674_10153871069180198_903739496_n.jpg



Mnalijuwa jamani hili tunda ? ni tunda gani? cc Boflo
 

Attachments

  • ZAMBARAU.jpg
    ZAMBARAU.jpg
    5.3 KB · Views: 365
miti yake inadondosha sana coz matunda yake yanakaa mwishoni mwa tawi so ili kuyapata unatakiwa uyafuate kwa kulalia tumbo au uwe na ndoana uyavute.ukiyala ulimi unajaa ukakasi.dah!i miss them too!
 
Usiombee uteleze wakati upo unajilia mtini, lazima udondoke tu sababu matawi yake hayana uimara sana.

huruhuriwi kupanda wakati mvua inanyesha au imekatika

Swala sio hilo la mvua bali matawi yake yako very weak

miti yake inadondosha sana coz matunda yake yanakaa mwishoni mwa tawi so ili kuyapata unatakiwa uyafuate kwa kulalia tumbo au uwe na ndoana uyavute.ukiyala ulimi unajaa ukakasi.dah!i miss them too!

Karibu morogoro mizambarauni


Hawa wanaopanda kuchuma zambarau wana matatizo sana na wanaharibu matunda.

Zambarau ikiwa mtini bado sio tamu inakuwa tamu inapoanguka yenyewe.

Jinsi zinavyokuwa kwenye vifungu, mtu anayelazimisha kuzichuka hawezi kutofautisha iliyokomaa na ambayo changa, matokeo yake wanaharibu matunda mengi mabichi kwa kuyaangusha. Vilevile wanaangusha maua ambayo yangekuwa maua.

Zambarau ni zao la kuvunwa kwa kuokota kama korosho. Kuirushia mawe au kufuata mtini sio vizuri.
 
....iringa wanaita MAVENGI, sijui ndo haya... Tabora wanaita zambarau, miti yake imevunja viuno sana watoto wa mboka...
 
Mkuu,

Hiyo ni mitaa yangu sana. Tunapaita pale Maternity opposite na TCC.
Inawezekana tumeshakutana mitaa hiyo mara kadhaa.

Inawezekana kiongozi
by the way ni CCT sio TCC na ni mtaa nakatiza sana kwenye pilika za kusaka "status" ya familia na nimekaa mitaa ya Yehova kabla ya kujimuvuzisha Kihonda
 
Inawezekana kiongozi
by the way ni CCT sio TCC na ni mtaa nakatiza sana kwenye pilika za kusaka "status" ya familia na nimekaa mitaa ya Yehova kabla ya kujimuvuzisha Kihonda

Sawasawa kaka.

Ukikutana na diwani Lebon mwambie zemarcopolo anamsalimia atacheka sana...
 
Mazee haya madude yalikuwa yanasababisha nakula mboko daily sababu ya kukwea mti wa zambarau kuzifuata
 
umenichekesha saaaaaaaana nakumbuka kuna mtu alishawahi panda mti wakati mvua metoka kunyesha mara akateleza daaah sitaki kabisa kumbuka
 
Back
Top Bottom