sisi tumetoa majina kutokana na tulipo toka"Itungusha "
Nina vocha ya jero,sema ni tunda gani
sisi tumetoa majina kutokana na tulipo toka
akikupa namba yake huyo ni fowadie kwenye pm na mimi nimtumie vochaNdo maana nimekupa like mpenzi
Nipe number yako pm nikutumie vocha
unanitumia ya sh ngapi mimi nataka ya mwenzi mzima kama 150,000Ndo maana nimekupa like mpenzi
Nipe number yako pm nikutumie vocha
ha ha hahahaakikupa namba yake huyo ni fowadie kwenye pm na mimi nimtumie vocha
Kweli kwa wahaya yanaitwa kitomasi na kwa wingi yanaitwa BITOMASI. Ni chachandu nzuri kwenye mboga na yanapatikana sana Lushoto na Bukoba.kitomasi