Hili tukio la dada wa kiganda kukatwa kichwa hadharani Saudia ni kweli?

Mtu mweupe sio mtu,hasa hao waarabu sisi weusi wanatuona nyani tu ukijipindua anga zao maji utaita mma...mawili:hawajakutumikisha watakufukuza kwao bila chochote&hawajakuua watakutia ulemavu wa maisha.
Dawa yao na sisi tuache kuwaona vimungu watu hawa watu weupe!
 
IMG_3229.JPG
 
Mie sikuweza kuiangalia yote hii. Nilitumiwa kwenye Whatsapp siku mbili zilizopita. Inahitaji moyo kuangalia binadamu mwenzio akichinjwa. Hawa watu wa ajabu sana halafu wakitoka hapo wanajifanya wasalihina sana sala tano kwa siku! Hizi dini Mh!
Dini yetu inaagiza hivyo, we fuata yako
Video niliitazama twice , yaonesha ni pakistan na si saud kama accompaning audio inavyosema
 
Dini inaagiza mtoto akianguka aliyekuwa anamuangalia achinjwe!? Tanzania mmeshachinja wangapi waliokuwa wanaangalia watoto na watoto hao wakaanguka?

Dini yetu inaagiza hivyo, we fuata yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom