Hili tukio la ajabu sana kulishuhudia

Hili tukio la ajabu sana kulishuhudia

Waliozaliwa mjini ni ngumu kuamini, kuna kijiji kimoja mtu na mkewe walienda okota kuni porini si wakuta kande imepikwa na bado ya moto kabisa, si wakanza kula walipo maliza bakora zikaanza wamerudi nyumbani wameumuka, mpaka leo wapo na ikifika tarehe zile lazima wapate viboko vya haja
acha basiiii"" yaani wamekuta kande zimepikwa "" hawamjui mpishi na wao wakala ...khaaaa!!!
 
36 yrs ago nilisimuliwa kisa km hicho nikiwa sumbawanga. Huyo mzee alikwenda kuoga mtoni wakati anarudi nyumbani akakanyaga mmea flani hivi kule Sumbawanga wanasema ukiukanyaga unapotea njia hufiki kwenu. Basi bwana Mzee safari ikawa ndefu mnoo, jua likazama hajafika home, usiku wote anatembea tuu kunakucha bado 2 days, siku ya tatu asubuhi anakaribia home anashangaa watu kibao nyumbani kwake wanalia. Alipofika home anamuona wife wake analia akimsemesha wife anakuwa km hamuoni vile. Piga kelele watu hawamuoni dah Mzee akaamua akae zake Pembeni anawaangalia tu km movie. Salama yake ikaja baada ya mzee mmoja pale kijijini kufika hapo msibani ndo kimazingara akamuona. Akawaita baadhi ya wazee akawaelezea mambo yalivyo, wakafanya Mila, Mara Yule.mzee akadondoka toka darini watu wakatimua mbio. Ikawa salama ya huyo Mzee.
Mmmmhhh ...sio chai hii Mkuu"" !!?
 
Habarini za mida hii wakuu..!!

Natanguliza pole kwa mihangaiko ya siku nzima ili mradi tu mkono uende kinywani..!!

Ilikua mwaka 1999 nikiwa shule ya msingi likizo ilinibidi nikamtembelee bibi na babu kizaa mama angu huko kijiji cha Nyakagomba Butundwe wilayani Geita, katika kijiji hiki watu waliishi maisha ya ujamaa sana.
Wiki ya kama ya pili hivi nikiwa kwa bibi yangu nakumbukuka ilikua siku ya Jumapili jioni kama saa kumi na mbili hivi alikuja mgeni ambaye alikua ni rafiki ake babu wa muda mrefu walikaa na kuzungumza mambo yao kama mnavyojua watoto hatukuruhusiwa kusogea karibu watu wakubwa wakiwa wanazungumza.

Walizungumza stori zao mpaka mida ya kama saa moja hivi ki giza kilianza kuingia, yule mgeni aliiga na kuondoka..kama ilivyo desturi babu alimsindikiza mgeni wake lakini kitu cha ajabu babu hakurudi..ilipofika mida ya kama saa nne hivi wasiwasi ukatawala pale nyumbani.
Wajomba zangu walimtafuta sana mpaka kwa yule rafiki ake lakini rafiki ake alidai kwamba waliagana na alirudi nyumbani, juhudi za kumtafuta ziliendelea kwa kushirikiana na wanakijiji wengine lakini hakuna lililofanikiwa.
Siku ya pili baada ya babu kutoweka ilibidi tu tuweke msiba na kuamini amefariki kama ilivyokawaida huko kijijini walitengeneza kaburi kama ishara ya kua alifariki.
Baada ya siku kama sita hivi tangu ametoweka ilikua ni usiku mida ya kama saa mbili hivi tukiwa tunakula tulisikia hodi alitoka mjomba wangu na alipofungua alikuta ni babu, mjomba yule alikimbia kwani wote tulimuogopa lakini babu alitusihi tusimuogope aliomba maji ya kunywa kisha akaomba akapumzike.
Siku ilifuata asubuhi alituita wote na kuanza kutusimulia ilivyokua..anasema alipokua anatoka kumsindika huyo rafiki ake alijikuta anatokea katika njia ambayo hakuielewa japo alidai ilifanana na njia aliyopita akimsindikiza mgeni wake lakini kitu cha ajabu alijikuta ametokea sehemu ambayo haikuielewa kabsa japo kulikua na watu waliokua wanamshangaa sana kwa jinsi alivyokua pia alidai walikua wanazungumza lugha ambayo hakuielewa kabsa hawakua tofauti na binadam wa kawaida ila kwajinsi alivyodai ilionyesha kama walikua hawaamini kama kuna binadam kama wao.
Mwisho alidai hakukumbuka ilikuaje mpka akajikuta yupo kijijini kwake tena..baada ya kutusimulia alifariki siku ilifuata.
Mpaka leo nikiwa mtu mzima sielewi kabsa tukio hili. !!
Ina maana huko kwenu mtu asipoonekana siku 1 tu mnaweka msiba?
 
Unaambiwa hadi airport zipo busy sana nadhan inabid mtaalam yeyote atupe uzi wa Gamboshi

Unaya kila mleta uzi wa Huko huwa hawezi kuumalizia sijui inakuwaje kwakweli ataandika nitarudi basi ni kimoja unaishia hapohapo
 
Strange People Who Shifted to Other Dimensions
mysteriousuniverse.org
Join Plus+ and get exclusive shows and extensions! Subscribe Today!
Do other realities brush up against our own? Are there parallel dimensions lying just beyond through some thin, untraceable veil separating us? The idea of parallel realities beyond our own is not new, yet what if this phenomenon were to come bursting forth from the realm of theory and speculation and come crashing down into the now? Are there perhaps some people who have stepped over that barrier into domains we have not yet to see and which we may indeed not even be meant to see? I have covered such alleged excursions into the horizon beyond our known reality here at Mysterious Universe before, and here I will revisit this topic with a selection of other cases that seem to imply the possibility that not only are parallel dimensions real, but that they are destinations to which we can be whisked away, whether intentional or not.

In the September, 1956 issue of Fate Magazine there was the curious story of a woman who apparently shifted into another parallel universe in 1934. According to the report, in the fall of that year a woman by the name of Miriam Golding had a profoundly unusual experience while riding an elevator with her fiancee in Chicago. The elevator was crowded, and when Miriam made a mistake and got off at the wrong floor she found that she could not push her way back in past the throng of people and resigned herself to waiting for the next one. That was when she looked around and was startled to realize that she was no longer in the store at all, but rather an expansive train station.

narnia-dawn-treader-interdimensional-doorway-570x408.jpg
The enormous railway station she found herself in was allegedly bustling with fevered activity, with throngs of travelers rushing to their trains and booming announcements of arrivals and departures echoing through the air. There seemed to be no way this busy place could have any connection whatsoever to the music store she had been in moments before. The confused Miriam made her way to an information booth to ask where she was, but found that the woman working there completely ignored her, as if she weren’t there at all. Perplexed, Miriam followed a series of signs pointing the way to the street outside, and she emerged out into a mild, sunny afternoon that seemed to be in the midst of summer rather than fall, in a place that was most certainly not Chicago.

She wandered about in confusion and noticed that everyone around her seemed to completely ignore her and walk on by as if they did not even see her. At some point she claims that she saw a confused looking boy standing in the sidewalk similarly being passed on by people who seemed to have no idea he was even there, and Miriam approached him wondering what was going on. The boy was able to actually see and respond to her, and looked in her direction, the first time anyone had acknowledged her presence in this strange, surreal place. As she approached, the boy seemed equally relieved that he was visible to Miriam, smiled slightly and purportedly saying: “I guess they let you off at the wrong stop, too.”

The two lost people walked together down the street in confusion, the whole time completely ignored by those around them, and the boy told Miriam of what had happened to him. He claimed that he had been playing tennis in Lincoln, Nebraska, in the United States, and had gone to the locker room to change his shoes. When he had gone back to the courts to play some more he had found that the tennis courts that had been there moments before were now gone and in their place was a huge train terminal, which had turned out to be the exact same station into which Miriam had enigmatically entered from the elevator.

hfddhhshsd-570x428.jpg
The two allegedly kept on walking until they reached an open area that led to water, and over the waves they could apparently make out a sand bar with several women upon it chatting and seeming to act as if nothing was beyond the ordinary. To Miriam’s astonishment, one of the women was oddly her fiancee’s sister. The women out on the sandbar seemed to notice them and began waving and shouting to Miriam and her companion. This encouraged the boy to try and make a swim out to the sandbar, which did not seem so far and which he was confident he could reach. Yet even though he was a good swimmer it seemed that no matter how much he tried and pushed against the waves, he was unable to draw any closer to the mysterious sandbar and he returned to shore in frustration. It was then that the sandbar supposedly suddenly vanished into thin air.

Miriam closed her eyes in exasperation, disappointment, and exhaustion, and then was overcome by the sensation of floating through space. After some time of this odd feeling of hovering in darkness she claimed that she suddenly opened her eyes to find herself sitting atop a stool in the music store in Chicago, which seemed to be in the process of closing for the night, suggesting that she had been there for at least several hours. Disoriented, Miriam looked around for her fiancee but could not find him and decided to head back to his home. When she arrived, her fiancee was noticeably relieved and explained that he had lost her in the store and had waited for her to come to the right floor for a few hours before deciding to go back home. Bizarrely, the fiancee’s sister, whom Miriam had seen on the mysterious sandbar earlier, claimed that she had seen Miriam in town and had even called out to her, but that she had been too absorbed in talking to a young boy to notice her. Where did Miriam go during that time? Why should she see her fiancee’s sister on a sandbar while the sister had seen her in town, all while they could not reach across to communicate? Were they separated by strange barriers we do not and may not ever understand? It is a mystery
Meja M
 
Dah kweli kiongoz
 
Sasa kama Babu kalala nyumba ndogo siku zote hizo ulitegemea awaambie kalala nyumba ndogo?
 
Back
Top Bottom