Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Wala sio wapare [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu alishangaa unakulaje chakula porini bila kujua mpishi[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ni wapare hao mke na mume?
Wala sio wapare [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu alishangaa unakulaje chakula porini bila kujua mpishi[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ni wapare hao mke na mume?
Yapo sana tushukuru mjini na hizi dini vitu hivi vinapungua punguaHaya mambo yapo chifu..dunia inavitu vya ajabu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani akili zao sijui vipi.[emoji44][emoji1] [emoji1] [emoji1] walihitaj zaid ya fimbo
Mkuu sijawahi fika huko Geita,lakn mzee wangu alipata kunisimulia kwamba huko Geita hasa hapo Butundwe n wachawi haasa,kulkua na bibi yake kule wa ukoo alisuswa(kutengwa)na ndugu wote,hata alipofariki hakuna ndugu yoyote aliyehudhuria msiba ule,anadai kwmba hawajawahi kwenda hata kwenye kaburi lake kwa uoga kulingana na ukweli kwmba yule ajuza alkua n mchawi hatareeeeeee....an noma hata ukpta njia ya karbu 2 na kwake anakuroga,na kuna ndugu zetu huko naogopaga hata kuwasiliana nao,an ctak hata wapate mawasiliano yangu,naamin watu wa huko n balaaHabarini za mida hii wakuu..!!
Natanguliza pole kwa mihangaiko ya siku nzima ili mradi tu mkono uende kinywani..!!
Ilikua mwaka 1999 nikiwa shule ya msingi likizo ilinibidi nikamtembelee bibi na babu kizaa mama angu huko kijiji cha Nyakagomba Butundwe wilayani Geita, katika kijiji hiki watu waliishi maisha ya ujamaa sana.
Wiki ya kama ya pili hivi nikiwa kwa bibi yangu nakumbukuka ilikua siku ya Jumapili jioni kama saa kumi na mbili hivi alikuja mgeni ambaye alikua ni rafiki ake babu wa muda mrefu walikaa na kuzungumza mambo yao kama mnavyojua watoto hatukuruhusiwa kusogea karibu watu wakubwa wakiwa wanazungumza.
Walizungumza stori zao mpaka mida ya kama saa moja hivi ki giza kilianza kuingia, yule mgeni aliiga na kuondoka..kama ilivyo desturi babu alimsindikiza mgeni wake lakini kitu cha ajabu babu hakurudi..ilipofika mida ya kama saa nne hivi wasiwasi ukatawala pale nyumbani.
Wajomba zangu walimtafuta sana mpaka kwa yule rafiki ake lakini rafiki ake alidai kwamba waliagana na alirudi nyumbani, juhudi za kumtafuta ziliendelea kwa kushirikiana na wanakijiji wengine lakini hakuna lililofanikiwa.
Siku ya pili baada ya babu kutoweka ilibidi tu tuweke msiba na kuamini amefariki kama ilivyokawaida huko kijijini walitengeneza kaburi kama ishara ya kua alifariki.
Baada ya siku kama sita hivi tangu ametoweka ilikua ni usiku mida ya kama saa mbili hivi tukiwa tunakula tulisikia hodi alitoka mjomba wangu na alipofungua alikuta ni babu, mjomba yule alikimbia kwani wote tulimuogopa lakini babu alitusihi tusimuogope aliomba maji ya kunywa kisha akaomba akapumzike.
Siku ilifuata asubuhi alituita wote na kuanza kutusimulia ilivyokua..anasema alipokua anatoka kumsindika huyo rafiki ake alijikuta anatokea katika njia ambayo hakuielewa japo alidai ilifanana na njia aliyopita akimsindikiza mgeni wake lakini kitu cha ajabu alijikuta ametokea sehemu ambayo haikuielewa kabsa japo kulikua na watu waliokua wanamshangaa sana kwa jinsi alivyokua pia alidai walikua wanazungumza lugha ambayo hakuielewa kabsa hawakua tofauti na binadam wa kawaida ila kwajinsi alivyodai ilionyesha kama walikua hawaamini kama kuna binadam kama wao.
Mwisho alidai hakukumbuka ilikuaje mpka akajikuta yupo kijijini kwake tena..baada ya kutusimulia alifariki siku ilifuata.
Mpaka leo nikiwa mtu mzima sielewi kabsa tukio hili. !!
Halafu sio wapare kabisa na hawana nasaba hata kidogo labda walitegeshewaWapare hao njaa sana
Kuisha kabisa ni ngumu kupungua sawaKweli yamepungua sana na naamin yataisha
No mkuu nadhali ilikuwa ni California Death valley jamaa walikuwa katika matembezi na gari lao,walikuwa vijana na wasichana kadhaa wakaamua kuingia off road mara wakatokea nchi nyingine kabisa na wakabaki wanashangaa na mshituko mkubwa ukawapata anyway ni kisa cha ajabu sana.Ilikuaje huko Nevada?? Au ndo kisa cha A man from Taured??
Huko mkuu sio mchezo watu kutembea mwisho saa mbili usiku kumehaa uchawi hatari ilibidi ndugu zang wote wahame tena kisiri siri bila kujulikana hamna mtu anatamani kwenda kule japo nasikia sasa hivi wamepungua..nampango niende mwez wa nane kwani kuna mjomba wang alikataa kuhama kabsa kuleMkuu sijawahi fika huko Geita,lakn mzee wangu alipata kunisimulia kwamba huko Geita hasa hapo Butundwe n wachawi haasa,kulkua na bibi yake kule wa ukoo alisuswa(kutengwa)na ndugu wote,hata alipofariki hakuna ndugu yoyote aliyehudhuria msiba ule,anadai kwmba hawajawahi kwenda hata kwenye kaburi lake kwa uoga kulingana na ukweli kwmba yule ajuza alkua n mchawi hatareeeeeee....an noma hata ukpta njia ya karbu 2 na kwake anakuroga,na kuna ndugu zetu huko naogopaga hata kuwasiliana nao,an ctak hata wapate mawasiliano yangu,naamin watu wa huko n balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakua alitokezea Gamboshi..
[emoji1]Mshana anasemàje kwani
Mshana Jr
Hii dunia tuiache tu mkuuNo mkuu nadhali ilikuwa ni California Death valley jamaa walikuwa katika matembezi na gari lao,walikuwa vijana na wasichana kadhaa wakaamua kuingia off road mara wakatokea nchi nyingine kabisa na wakabaki wanashangaa na mshituko mkubwa ukawapata anyway ni kisa cha ajabu sana.
Hapa kuna makandokando.Alikaa pembeni halafu akaanguka kutoka darini???rekebisha stori yako bwana36 yrs ago nilisimuliwa kisa km hicho nikiwa sumbawanga. Huyo mzee alikwenda kuoga mtoni wakati anarudi nyumbani akakanyaga mmea flani hivi kule Sumbawanga wanasema ukiukanyaga unapotea njia hufiki kwenu. Basi bwana Mzee safari ikawa ndefu mnoo, jua likazama hajafika home, usiku wote anatembea tuu kunakucha bado 2 days, siku ya tatu asubuhi anakaribia home anashangaa watu kibao nyumbani kwake wanalia. Alipofika home anamuona wife wake analia akimsemesha wife anakuwa km hamuoni vile. Piga kelele watu hawamuoni dah Mzee akaamua akae zake Pembeni anawaangalia tu km movie. Salama yake ikaja baada ya mzee mmoja pale kijijini kufika hapo msibani ndo kimazingara akamuona. Akawaita baadhi ya wazee akawaelezea mambo yalivyo, wakafanya Mila, Mara Yule.mzee akadondoka toka darini watu wakatimua mbio. Ikawa salama ya huyo Mzee.
Hiyo dvd inatisha kweli pekeyangu siwezi itizamaNo mkuu nadhali ilikuwa ni California Death valley jamaa walikuwa katika matembezi na gari lao,walikuwa vijana na wasichana kadhaa wakaamua kuingia off road mara wakatokea nchi nyingine kabisa na wakabaki wanashangaa na mshituko mkubwa ukawapata anyway ni kisa cha ajabu sana.
Tunaishi sambamba na dunia nyingine.Hii dunia tuiache tu mkuu