Haya matukio kanda ya ziwa yapo sema ni ngum kwa watu kuelewa na kuaminiSio rahisi watu waliozaliwa na kukulia mijini tu bila ya kuchangamana sehemu tofauti wakakuelewa. Ila kimsingi babu yako aliingia dunia ya wengine(Gamboshi). Jambo la namna hii limewahi kumtokea dereva wa pick up zinazopaki hapo Pamba Secondary Mwanza.
Unaambiwa hadi airport zipo busy sana nadhan inabid mtaalam yeyote atupe uzi wa GamboshiKanda ya ziwa mafundi sana wa kulogana itakua akipelekwa gamboshi,according to simulizi za wachawi Gamboshi mida ya usiku panabadilika na kuwa kama New York full maghorofa treni za umeme,kukikucha unakutana na vibanda vya nyasi na Maisha duni,wabongo kwa kulogana ni nomaaa
Aisee pole sana Meja M, mambo haya wala siwezi kushangaa kwa mtu uliyewahi ishi kijijini mmm,Tushapoa mkuu lakini hili tukio ni kwel kabsa
Asante sana boss wang...Kabsa kule ilikua ni kijijini kweli yaan hata gari ni moja tu linapita lakini sasa kwel dini zimesaidia sanaAisee pole sana Meja M, mambo haya wala siwezi kushangaa kwa mtu uliyewahi ishi kijijini mmm,
mie naona niafadhali sahizi dini zinasaidia labda yangepigwa maombi Mungu angenusulu
Dah haya mambo yapo kweli mkuu kikazi hiki ni ngum sana kuamini36 yrs ago nilisimuliwa kisa km hicho nikiwa sumbawanga. Huyo mzee alikwenda kuoga mtoni wakati anarudi nyumbani akakanyaga mmea flani hivi kule Sumbawanga wanasema ukiukanyaga unapotea njia hufiki kwenu. Basi bwana Mzee safari nikawa ndefu mnoo, kuna likazama hajafika home, usiku wote anatembea tuu kunakucha bado 2 days siku ya tatu asubuhi anakaribia home anashangaa watu kibao nyumbani kwake wanaliwa. Alipofika home anamuona wife wake analia akimsemesha wife anakuwa km hamuoni vile. Piga kelele watu hawamuoni dah Mzee akaamua akae zake Pembeni anawaangalia tu km movie. Salama yake ikaja baada ya mzee mmoja pale kijijini kufika hapo msibani ndo kimazingara akamuona. Akawaita baadhi ya wazee akawaelezea mambo yalivyo, wakafanya Mila, Mara Yule.mzee akadondoka toka darini watu wakatimua mbio. Ikawa salama ya huyo Mzee.
Ni kisa nilichowahi kukisoma sio kwamba nilikishuhudia anyway kilitokea huko Nevada USA.toa ushuhuda wako hapa ...ili tukuamini mkuu"..
Waliozaliwa mjini ni ngumu kuamini, kuna kijiji kimoja mtu na mkewe walienda okota kuni porini si wakuta kande imepikwa na bado ya moto kabisa, si wakanza kula walipo maliza bakora zikaanza wamerudi nyumbani wameumuka, mpaka leo wapo na ikifika tarehe zile lazima wapate viboko vya hajaAsante sana boss wang...Kabsa kule ilikua ni kijijini kweli yaan hata gari ni moja tu linapita lakini sasa kwel dini zimesaidia sana
Ni wapare hao mke na mume?Waliozaliwa mjini ni ngumu kuamini, kuna kijiji kimoja mtu na mkewe walienda okota kuni porini si wakuta kande imepikwa na bado ya moto kabisa, si wakanza kula walipo maliza bakora zikaanza wamerudi nyumbani wameumuka, mpaka leo wapo na ikifika tarehe zile lazima wapate viboko vya haja
Haya mambo yapo chifu..dunia inavitu vya ajabu sanaWaliozaliwa mjini ni ngumu kuamini, kuna kijiji kimoja mtu na mkewe walienda okota kuni porini si wakuta kande imepikwa na bado ya moto kabisa, si wakanza kula walipo maliza bakora zikaanza wamerudi nyumbani wameumuka, mpaka leo wapo na ikifika tarehe zile lazima wapate viboko vya haja