jamaa walikuinamisha nini mbona husemi hilo tukio.Wana jamfi , kuna tukio lili wahi kutokea kijijini kwetu, nila kustaajabisha sana nahuwa kila nikili vikiria huwa sipati majibu kama kweli lili tokewa au ndio hadidhi lakini huwa, najikuta niki kubali kwamba lili tokea kwani nililiona.