Hili tatizo linasababishwa na nini...?

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
867
990
Habari ndugu zangu....

Laptop yangu kwasasa nitakapoichomeka charge inaleta mawimbi mawimbi katika screen(kama inavoonekana katika picha) inanipelekea kuizima tu na kuiwasha tena maana siwezi kufanya chochote ikiwa katika hali hiyo....

Shida inaweza kuwa nini...?
Solution yake yawezakuwa nini...?

Thanks.
IMG_20180419_202711.jpeg
IMG_20180419_202120.jpeg
 
Back
Top Bottom