Hivi kilevi kinanywewa kwa tahadhari kweli? Hasa ukishafikisha gia namba nne?[emoji23]Mkuu, kunywa kwa tahadhari yako mwenyewe, hasa ukiwa safarini.
![]()
nikitaka kuanzisha uzi lenyewe linakuja juu........aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhhhhhhhhhrrrrrrrr
Kama upo dar njoo ubungo riverside utakunywa hadi utambaehiki ndo kinywaji changu na jmosi hii mpaka sasa sina hata kumi
Wewe utakua kwenye vipaso au IST. Mimi kama ni safari ndefuu saaaana nkiwa na SCANIA yangu nkatia low naenda high gia ya 12 ndo naanza kukosa tahadhariiiiHivi kilevi kinanywewa kwa tahadhari kweli? Hasa ukishafikisha gia namba nne?[emoji23]
Duu kumbe hujaelewa kabisa au hatujaelewanaWewe utakua kwenye vipaso au IST. Mimi kama ni safari ndefuu saaaana nkiwa na SCANIA yangu nkatia low naenda high gia ya 12 ndo naanza kukosa tahadhariiii
Mimi nimekuelewa wewe ndo hujanielewa.Duu kumbe hujaelewa kabisa au hatujaelewana
Na Mimi?Kama upo dar njoo ubungo riverside utakunywa hadi utambae
Kama upo dar njoo ubungo riverside utakunywa hadi utambae
haujafika tu.. Leo nimezfuniaNachukua MWENDOKASI mkuu,Nipe dk 5.