Hili tangazo haliwatambui wanaume..

Wapi kifimbo cheza na wachavuzi wa lugha?
 
Walishajua wanaume ni mabingwa wa kufungua flais hata barabarani!!! Wanasetiri wanawake hapa. Aibu sana kwa mameni.
 
Wapi kifimbo cheza na wachavuzi wa lugha?

Umeona ehee? Eti POLINI, sijui ndio wapi huko? Hilo neno la kiinglishi linaloanza na "R" nitawasamehe. Sijui nani aligharimia utengenezaji wa hilo bango.

Tiba
 
Lugha za watu za kujifunza kidogo kidogo tutafika
 
Walishajua wanaume ni mabingwa wa kufungua flais hata barabarani!!! Wanasetiri wanawake hapa. Aibu sana kwa mameni.
Hapana hili tangazo linawalenga wanawake kumaanisha wao ndio wanatabia hiyo...si unaona ilani kwa maandishi mekundu yameandikwa kwa ajili yao? Wanaume hatuhusiki hapo...sie tunaendaga vya kulipia
 
uwiii hiyo kingereza ya wanawake ndo imeniacha hoi...READES akimaanisha LADIES ama? halafu kutofautisha 'l' na 'r'
 
Mhhh polini na Reades nimeshindwa kuelewa ni kitu gani naomba msaada wenu wajf
 
Hivi ndiyo vile vya Mwakyembe mbadala wa kuchimba dawa
 
Hapo lugha ni majanga sio kiinglish wala kiswahili.

Huenda kuna upande mwengine ambapo wanaume ndo wanaruhusiwa (Bango tofauti)
 
Umeona ehee? Eti POLINI, sijui ndio wapi huko? Hilo neno la kiinglishi linaloanza na "R" nitawasamehe. Sijui nani aligharimia utengenezaji wa hilo bango.

Tiba

Serikali.
 
Mkuu:Hapo hata ya kwetu yenyewe imechapiwa: "polini" au porini?
Nilijua mambo ya slang ya kiswahili si unajua tena, mara xaxa, xixi, xana nk lugha ya kuzaliwa nayo uzuri wake unaigeuza unavyotaka tofauti na ya kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…