Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

Rais JPM, ambae aliwahi kuwa waziri wa mabarabara, alisema "hakuna sheria inayozuia kufanya umachinga barabarani." Alikuwa anakosea ?
... hiyo ni sawa na kusema hakuna sheria inayokataza kufanya mapenzi hadharani! Mwehu pumbavu!
 
Wewe ndio mwehu.

Sheria inayokataza kufanya mapenzi barabarani ipo.

PENAL CODE, CAP 16 of LAWS
SEXUAL OFFENCES PROVISIONS ACT
1994, No. 4
Section 138A

Acts of gross indecency between persons

And person who, in public or private commits, or is a party to the commission of, or procures or attempts to procure the commission by any person of, any act of gross indecency with another person, is guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term not less than one year and not exceeding five years or to a fine not less than one hundred thousand and not exceeding three hundred thousand shillings
 
Hivi umeelewa ulicho-quote na ulichoandika lakini? Aliyekataa kwamba kuna sheria inayokataza kufanya mapenzi barabarani ni nani? Soma uelewe acha kukurupuka.
 
Back
Top Bottom