Hili suala la mishahara utaalam lazima uangaliwe

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
628
780
Hili suala la mishahara utaalum lazima uangaliwe lakini tukiangalia tu elimu basi profesa anafundisha mfano analipwa mil3 na mtu ana degree tu analipwa mil6 kwenye taasisi. Lakini huyu mwenye degree mfano anaandika code za oracle utamlipaje hiyo mil3 si atakimbia.

Katika dunia ya leo usawa ni ngumu kwa sababu utaalamu lazima uangaliwe na mchango wa huyo mtu na si elimu tu.Wenzetu ulaya wanaangalia skills, what skills do u have? Kwetu elimu.

Ngoja tusubiri usawa unaokuja
 
Mwenyewe hapa kuna kozi ya taaluma fulani nilisoma,nikaenda field nikafanya vizuri,ukaja mtihani nikafeli na kukosa cheti kabisa.Kukosa cheti hakukufuta maarifa niliyoyapata,niliamini nikipewa kazi niliyojifunza nitaweza,na niliweza na sasa ni mtaalamu katika hiyo fani.
 
Back
Top Bottom