Hili soko jipya la kisutu ni kufuru Rais Magufuli atajwa

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Wakuu hii Nchi ni kama umefungulia brek kila kona ya Nchi ni maendeleo tu

Hili soko jipya na la kisasa likikamilika linaweza funika hata Kariakoo

Wakazi wa Ilala wamemwagia pongezi Rais Magufuli kwa kuamua kuwajengea soko la kisasa
20200629_151608.jpg
20200629_151548.jpg


Wana ilala mpewe nini tena na Rais Magufuli ?
Kazi kwenu October ni kumpa zote tu
 
Huu ni mwaka wa 15 soko hilo hutolewa picha yake kila mwaka wa uchaguzi. A very old trick ( mimi ni CCM ). Hili soko imekua too much sasa. Pia, kwanini soko la Tandika lisiimarishwe? Pale kuna potential kubwa ya kuzuia watu kurundikana Kariakoo
 
Wakuu hii Nchi ni kama umefungulia brek kila kona ya Nchi ni maendeleo tu

Hili soko jipya na la kisasa likikamilika linaweza funika hata kariakoo

Wakazi wa ilala wamemwagia pongezi Rais Magufuli kwa kuamua kuwajengea soko la kisasa View attachment 1492206View attachment 1492207

Wana ilala mpewe nini tena na Rais Magufuli ?
Kazi kwenu October ni kumpa zote tu
Let us b analytical
Yasje kuwa yale yale ya Machinga Complex,Stendi ya Morogoro
 
Back
Top Bottom