Hili sio kosa la kwanza la Tundu Lissu

Fatilia record vizuri ya watangulizi wa Rais magufuli, utakuta serikali zote ziliweka watu wa kanda zote. Na mh Rais Magufuli kajitahidi zaidi kwa kuingiza hadi wapinzani.
 
Niyapi Uongo?Hu Utawala Unafuata Sheria?Au Una Maslah Nahuu Utawala?
Si kila aliye na mtazamo tofauti na wako ana maslai. Si hitaji kurudia aliyosema nitakuwa sina tofauti na akili zake
 
Moja Nashukuru kwakujua Lissu anafanya siasa za majitaka. Pili two wrongs will never make it right.
 
Huna haja ya kutoka povu. Mtu yeyote anazungumza ukabila au udini, anayo shabaha ya kuligawa taifa
 
Moja Nashukuru kwakujua Lissu anafanya siasa za majitaka. Pili two wrongs will never make it right.

Wakati mnatumia kete ile tuliwakanya hamkusikia kwa kuwa ile kete ilikuwa inawatoa. Leo wananchi wote wanaangalia uteuzi wa mtu wa kigezo cha kabila, dini nk. Sasa mbegu muoteshe wenyewe kisha mkimbie mavuno. Tulieni mmefanya upuuzi mwingi sana nchi hii kuanzia mikataba mibovu mpaka kuchezea katiba ya wananchi kupitia rasimu ya Warioba. Mnataka tuanze upya katiba ya Warioba irudi mezani, ipite neno kwa neno, nukta kwa nukta. Kinyume na hapo kisu mlichonoa ndio kitakachotumika kuwakatia.
 
Kamanda siro alipowatembelea wanakibiti aliwaambia wajilinde wenyewe.
Iliandikwa na hata humu jamvini.
We au masikio yako yanakasoro au sehemu ya ubongo inatafsiri ndivyo sivyo. Alichokimaanisha ni kuwa wao pia ni sehemu ya ulinzi kwani watuhumiwa wanaishi miongoni mwao. Hivyo wakianza kujilinda wenyewe itakua rahisi hata kwa dola
 

Kumbe Lissu ni punguani, sasa mahakamani kufanya nini na mpungukiwa akili?!
 
Huna haja ya kutoka povu. Mtu yeyote anazungumza ukabila au udini, anayo shabaha ya kuligawa taifa
Mkuu kuligawa vp?mtu kusema kweli ni makosa?au unakuwa na tabia za shetani kuugeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ,kuligawa taifa kweni sasa iko vp,kama sio ukweli uliopo?haya pesa za serikali zinazo nunua madege,kujenga kiwanja cha ndege zimeizinishwa wapi ikiwa bunge hukijui hata bei na garama za ujenzi huo?wakati bunge ndo waidhinishaji wa fedha za serikali kama sheria za nchi zisemavyo?au mnafuata ushabiki badala ya sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye uwezo wa kujibu hoja za Lisu nchi hii isipokuwa Lisu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…