Hili sanamu liko wapi?

Hili sanamu liko wapi?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
Hii website huwezi ku copy picha yeyote, sasa kwa nayetaka kunisaidia a click link hapo chini na ushuke hadi kwenye sanamu kubwa sana la manamme, mwanamke na mtoto amabo na hisi ni wa Afrika. Ni bonge la sanamu na sijawahi liona kokote.
Je liko nchi gani?

Dope Shots #134 | Sick Chirpse
 
Nikisaidie tu lakini sijui ni wapi 1413621877460.jpg
 
Asante picchu
Skype kwa nini Misri? Huyo jamaa mbona design mmbantu.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Sasa hata kui-google ngumu. Mtu anielekeze jinsi ya ku-google picha ili nipate info zake.
 
Asante picchu
Skype kwa nini Misri? Huyo jamaa mbona design mmbantu.

Sawa haiwezi kuwa Misri, lakini ondoa wazo kwamba Misri hakukuwa na wabantu before, historia imechakachuliwa na wazungu ndio maana tunaaminishwa vyovyote vile. Lakini kuna ushahidi tosha wabantu walikuwepo pande zote hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom