Hili ni tatizo kwa Ronaldo, ni la muda mrefu

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Naangalia game ya Man Utd vs Arsenal, man utd wamechomoa kupitia Bruno.

Wachezaji waliokuwa karibu na Bruno wamemkiblilia kushangilia pamoja Ila Ronaldo hakwenda.

Huwa ni kama anakua hana furaha mwingine akifunga.

Nimeliona hili kwa muda mrefu sana, hata kipindi yupo Madrid Benzema akifunga hutaona Ronaldo anakimbilia kumfuata kushangilia pamoja.

Ronaldo ni mchezaji mzuri sana kupita kiasi, Ila ana tatizo la ubinafsi sana.
 
Hakuna striker yoyote Duniani mwenye tabia ya kufurahia mwenzake akifunga yeye akiwa hajafunga. Sifa ya Striker ni yeye kuwa Kwanza, ubinafsi, umimi, uchu, mbaka iwe Hana namna ndio apewe mwingine.

Ndivyo walivyokua na watakavyo kua ma striker wote Hatari. Mbaka ukimuona kafikisha goli 801 usifikiri mtu mwenye kutoatoa pass saaana. Iyo haipo . Ukiona striker ana assist Sana ujue Kuna shida.
 
Hakuna striker yoyote Duniani mwenye tabia ya kufurahia mwenzake akifunga yeye akiwa hajafunga.
Sifa ya Striker ni yeye kuwa Kwanza, ubinafsi, umimi, uchu, mbaka iwe Hana namna ndio apewe mwingine. Ndivyo walivyokua na watakavyo kua ma striker wote Hatari. Mbaka ukimuona kafikisha goli 801 usifikiri mtu mwenye kutoatoa pass saaana. Iyo haipo . Ukiona striker ana assist Sana ujue Kuna shida.
Wapo mastriker wenye unyenyekevu na utulivu ...mfano Drogba msimu wa 2009 - 2010 alikuwa amelingana idadi ya magoli na Wyne Rooney na alitakiwa afunge goli moja Tu ili awe mfungaji bora ilikuwa ni mechi ya mwisho kufunga msimu na Chelsea walipata penalty ila cha kushangaza Lampard akaing'ang'ania kupiga yeye na drogba akatulia japokuwa alichukizwa...ila Mwisho wa siku Drogba alikuja kupiga Hat-trick na akabeba Golden Shoe.

Hata Messi msimu huu psg haujakaa sawa kwake lakini yeyote akifunga unaona anakimbia kwa Furaha na kukumbatia aliyefunga ....

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unavyosema drogba alitulia ulitaka arushe ngumi kwa Lampard kugombea penalty?
 
Back
Top Bottom