Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Naangalia game ya Man Utd vs Arsenal, man utd wamechomoa kupitia Bruno.
Wachezaji waliokuwa karibu na Bruno wamemkiblilia kushangilia pamoja Ila Ronaldo hakwenda.
Huwa ni kama anakua hana furaha mwingine akifunga.
Nimeliona hili kwa muda mrefu sana, hata kipindi yupo Madrid Benzema akifunga hutaona Ronaldo anakimbilia kumfuata kushangilia pamoja.
Ronaldo ni mchezaji mzuri sana kupita kiasi, Ila ana tatizo la ubinafsi sana.