Hili ni pepo au?

...soma thread zako na coment zako alafu nisome tena utanielewa...tuliza akili...
 
...soma thread zako na coment zako alafu nisome tena utanielewa...tuliza akili...

this is a social forum right???? we are just socializing doctor huh!!!!
 
...haya bana..wengine tunajua upo serious

not really doctor ts not that serious jaman tunabadilishana mawazo kidizain tu!! u know these jf guys are so funny eeeehh siriaz everyday they made my days in different ways!!!
 
yaani humu mnabalaaa jamani!! i see most of women supprting men n men supporting women ama kweli vice versa is true!! i said most not all!!
 
Kuna wanaume wanatudhalilisha saaana. Inakuwaje mwanamke anasema mihamu inajikusanya kama chemchem msimu wa mvua? Au eti hafikishwi ghorofa ya mwisho!!!!!?
we mahondaw!!!! Kuja huku kwetu zanzibar upewe vituu vya maana uishie kuota jua kila siku hadi ukituona wanaume unasema kazi ipo.....
 
Kuna baba yangu mdogo yuko huko ni mwanajeshi yuko kona ya Rwamishenye hapo mtafute yaani anatibu sana watu wenye magonjwa ya nye.ges.
 




Unaweza kuwa unampigia hata simu. Umpendae na ukawa unajadili matukio mlokua pamoja.baada ya muda hii hali itakimbia.ukijaribu kumtafuta wa kupooza hutaacha utahangaika kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…