Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,313
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekuwa ikinitokea kama wiki 1 sasa!
Nimekuwa nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikuwa pamoja kwa muda wa wiki 2 zote!
Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuzi tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?