Hili ni la kweli kuhusu wanawake wa kitanga?

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Nilikuta wanaume wanazungumza kwamba ukiwa Tanga na ukatongoza wanawake wa huko kama amekupenda au anataka kukulia hela, hata kama ameolewa atakwambia kwamba hajaolewa/hana mwanaume. Je kuna ukweli wowote katika hili?
 
Tanga ndo kwenyeweee! Haangaliwi mtu inaangaliwa POCHI tu! Tena kwa mambo ya MAFIGA MATATU, na ishu ukibeba NDOO na KIDUMU lazima ndo mambo yao haswaaaaaa! Afu wanaume kwa wivu na kuweka TEGO hawajambo, angalia usije kunganganiana na mke wa mtu @ Nairobi!!!!!
 
Leo nimeongeza uelewa. Nilikuwa sijuhi neno 'kidumu' limetokea wapi. Lol.

Tanga ndo kwenyeweee! Haangaliwi mtu inaangaliwa POCHI tu! Tena kwa mambo ya MAFIGA MATATU, na ishu ukibeba NDOO na KIDUMU lazima ndo mambo yao haswaaaaaa! Afu wanaume kwa wivu na kuweka TEGO hawajambo, angalia usije kunganganiana na mke wa mtu @ Nairobi!!!!!
 
mi naona kama ni swala hli linaweza lisiwe tanga tu, kwangu me naona tanzania nzima na kuna wenye tabia hiyo.
 
Breaaaaaaaaaaaaaaaaaaak!!!.............Hapana sio kweli, naomba ni watetee, acheni kuwapakazia dada zetu bwana. Hizo tabia mkuu alizo zitaja hapo ni kwa baadhi tu ya watu na hii sio kwa tanga tu hata watu wa mikoa mingine baadhi wanatabia za namna hii. Ni hivi juzi tu wametoka kusemwa wadada wa watu wa kihaya hapa, wamepakaziwa sana hapa mambo ambayo mengi sio ya kweli bali ni tabia tu ya mtu mmoja mmoja. Hivi wakuu kuna mkoa wowote Tanzania hii ambao mabinti wake wana mapenzi ya dhati kwa asilimia 100%? Hizi ni Tabia tu jamani kwa baadhi ya watu ambazo zimeenea Tanzania nzima................na tukienda kwa mtindo huu basi kila mkoa kutakuwa hakuna mabinti wenye sifa nzuri hata kidogo......................Isiwe shida bwana kuwasema namna hii kama hampendi kuwaoa basi waacheni tutawaoa wenyewe.
 
hata mimi naunga mkono siku hizi makabila yote wanjia nyingiza kutega mwanaume ili apate pochi
 
Back
Top Bottom