masupacca16
Member
- Nov 5, 2016
- 66
- 47
Wakuu naomba kuuliza hili ni jiwe gani ? na thamani yake ikoje sokoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
haa haaa na kweli watatuletea maviMwisho mtatuletea na mavi mkiuliza hii ni aina gani ya mavi?
Hilo ni jiwe kama ilivyo mawe mengine mkuu!
Ukitaka kujua aina mbalimbali za mawe njoo Iringa Tosamaganga.
Chumvi ya mawe hio kilo moja 500/-Wakuu naomba kuuliza hili ni jiwe gani ? na thamani yake ikoje sokoni?View attachment 585984View attachment 585985
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe la pembeni Mkuu hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio lile jiwe walilolikataa waashi
Hilo sio kito kama almasi au tanzanaiti. Ni mawe tu ya kawaida Masupacca. Hutumika kwa ujenzi au kutengenezea vioo.
Ndio lile jiwe walilolikataa waashi