Hili ni jiwe gani

na mimi kuna haya maua yanaota nyumbani kwangu sijui ni nini?
 
Aisee usilishike kabisa hii kitu inatoa mionzi hatari, tafuta karatasi lishike nenda kalitupe mahali pa kificho na hakikisha haoni mtu yeyote. Kisha ni pm inbox nitakusaidia jinsi ya kuondokana hicho kitu hatari!!
 
Ilo jiwe umèliokota maeneo ya pale soko la kivukoni nini
 
Hilo nadhani la dhahabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni rangi ya dhahabu iliyosafishwa, dhahabu kama haijasafishwa ni ghafi, ina rangi chafu ya shaba nyekundu.
Sasa yeye kasema jiwe!
Na machimboni kuna kila aina ya matapeli wasiojali utu!
Hapo unawezakuta ni mtego mtu anase, wachimbaji wanaita malawi!
Jiwe la dhahabu si rangi yake hiyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…