Linafanana kabisa na kichwa cha huyo mtu...
Hiyo ni rangi ya dhahabu iliyosafishwa, dhahabu kama haijasafishwa ni ghafi, ina rangi chafu ya shaba nyekundu.
Wakiisha pigwa huwa hawasemi.Hahahahaha....ngoja tuone mkuu.
Labda makinikiawakuu nimeokota hili jiwe jana jioni, linaweza kuwa nini!? View attachment 846772
😳😳😀😀😃😃😃😃 kuna watu na viatu. Mkuu wewe ni kiatu, tena kiatu cha mgambo wa jiji, trust me.