Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,280
- 61,242
Ooh yes imetengenezwa kutokana na mchanga [emoji12]Serious![emoji15]
Ooh yes imetengenezwa kutokana na mchanga [emoji12]Serious![emoji15]
Haya mawe inasemekana yalikuwa africa kibao ni mawe mazuri na yenye power,yanitwa green eventurine,ni mawe ya bahati yani ilo ukiwa nalo waweza nena lolote ukafanikiwa,pia lina nguvu za asili yaani kama uchawi vile,wazungu walipofika africa ilikuwa vigumu kuwaibia mababu zetu maana walikuwa,wakitumia maww ayo kuchezea bao,so waka create gorori zinazo fanana na ayo mawe pure...yaan huwz tofautisha,so wakabwagia ile migorori ya glass af wao wakachukua izo green venturine,asee mzungu katupora vingi ila kwa sasa tuamke tuamke.Habari wanaJF,
Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa.
Naombeni msaada wakuu.
View attachment 367875
Habari wanaJF,
Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa.
Naombeni msaada wakuu.
View attachment 367875