Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
- Thread starter
- #21
Kwenye kichwa chako unaamini wote wote wananunulika; labda wasio na principles kwenye maisha yao.mkuu chahali analalamika hakulipwa milioni12.5 za kampeni ya ccm 2015,wewe ulilipwa? Au umeamua kulilia baharini machozi yaende na maji