Hili ndiyo gari la mwanaume sasa!!

Hili ndiyo gari la mwanaume sasa!!

17554498_1286521868061626_2899832030077910656_n.png
Una maanisha wewe usiyekuwa nalo ni mwana.m.ke?!
 
sasa hivi bashite anaenda kutafuta mhindi alienalo ampore!
 
Ndio maana mnaishia kufiirwa mnapenda sana kuishi kwa ndoto
 
Mimi huwa ni wa ajabu maisha yangu wengi hawayaelewi kabisa.

Nikipishana na mtu ana gari hii lazima nigeuke "Naipenda sana"
0d5792379773c27b14d7ba4e267f829c.jpg
06b2169ff497a8dd92ab03ac20d61de9.jpg

Hapa nimekubali! Hii gari sitakaa niichoke! Ngoja nipige kazi huenda Magufulization itafungua mwanya...
 
Back
Top Bottom