Hili Ndio Tamko Kutoka Kwetu Wanaume

Hili Ndio Tamko Kutoka Kwetu Wanaume

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Hivi wadada aliyewadanganya tunataka watu weupe nani?? Yaani mnajipodoa mnakuwa na rangi kama utumbo wa Mbwa, ngozi bayaaaa, miguu ina rangi ya Pepsi, Shingo ina rangi ya mirinda, sura jeupe, lips kama Guiness...Halafu na nyie mnataka mpendwe na kuaminiwa eti...

Kama wewe umeshindwa kujiamini mwenyewe na kupenda ngozi yako mwenyewe uliyoumbiwa na Mungu unataka nani akupende na moyo wake kwamba utautunza?? Labda kichaa au bushoke!Yaone kwanza sura zile zimekomaa kama kwato za Nguruwe, mnaudhi sana!
 
Siyo wanaume wote wanawachukia wengine wanawapenda hivyo hivyo walivyo. Kumbuka wajinga hawaishi mjini.
 
naomba usijipe cheo cha usemaji wa wanaume

mimi napenda mwanamke mwenye mchanganyo wa rangi miguu rangi ya mpoki sura rihanna
hapa najionaga kama nipo threesome nikishuka chini mwingine nikirudi juu mwingine
 
Mi ni mwanaume na hili tamko silitambui. Sihusiki na hii dhambi.

Wanawake na waheshimiwe na watu wote.

Ukiona ni wa ninio wengine hujiuliza watampata lini.
 
Hahaha...wanaume punguzeni jazba kwanza tupate CV's za msemaji wetu huenda anafaa!
Mi ni mwanaume na hili tamko silitambui. Sihusiki na hii dhambi.

Wanawake na waheshimiwe na watu wote.

Ukiona ni wa ninio wengine hujiuliza watampata lini.
 
Hivi wadada aliyewadanganya tunataka watu weupe nani?? Yaani mnajipodoa mnakuwa na rangi kama utumbo wa Mbwa, ngozi bayaaaa, miguu ina rangi ya Pepsi, Shingo ina rangi ya mirinda, sura jeupe, lips kama Guiness...Halafu na nyie mnataka mpendwe na kuaminiwa eti...

Kama wewe umeshindwa kujiamini mwenyewe na kupenda ngozi yako mwenyewe uliyoumbiwa na Mungu unataka nani akupende na moyo wake kwamba utautunza?? Labda kichaa au bushoke!Yaone kwanza sura zile zimekomaa kama kwato za Nguruwe, mnaudhi sana!
mkuu ungeweka na picha ingefaa zaidi
 
naomba usijipe cheo cha usemaji wa wanaume

mimi napenda mwanamke mwenye mchanganyo wa rangi miguu rangi ya mpoki sura rihanna
hapa najionaga kama nipo threesome nikishuka chini mwingine nikirudi juu mwingine

Hahaaaah!, eti threesome...we jamaa bana. 😀
 
Usisahau kauli mbiu yetu

"Kizuri mtu hula na nduguye"

Usinisahau kwenye ufalme wako kiongozi
Lazima kizuri hiki tule pamoja mkuu

Tusipokumbukana sisi hakuna
wa kutukumbuka kabisa
 
Hivi wadada aliyewadanganya tunataka watu weupe nani?? Yaani mnajipodoa mnakuwa na rangi kama utumbo wa Mbwa, ngozi bayaaaa, miguu ina rangi ya Pepsi, Shingo ina rangi ya mirinda, sura jeupe, lips kama Guiness...Halafu na nyie mnataka mpendwe na kuaminiwa eti...

Kama wewe umeshindwa kujiamini mwenyewe na kupenda ngozi yako mwenyewe uliyoumbiwa na Mungu unataka nani akupende na moyo wake kwamba utautunza?? Labda kichaa au bushoke!Yaone kwanza sura zile zimekomaa kama kwato za Nguruwe, mnaudhi sana!
Jiwe gizani mkuu atakaye toa sauti ujue ndo muhusika
 
Mtu ukikaa siti moja na lile joto la dar ananuka kama maabara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom