Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,256
- 219,479
Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani .
Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi kwamba , Huu umasikini walionao kwenye kila eneo umeletwa na mungu , siyo ccm