Hili ndio swali ambalo Kinana , Majaliwa na Wanaccm wengine hawawezi kulijibu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,367
Screenshot_2024-01-05-13-13-14-1.png


Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani .

Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi kwamba , Huu umasikini walionao kwenye kila eneo umeletwa na mungu , siyo ccm

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Nchi haiongozwi na malaika, ulitaka vyombo hivyo aunde nani?
 
Huyu popoma hajui kwamba kuna incumbent President.Hakuwezi kuwa na vacuum ya uongozi Nchi inapoelekea kwenye Uchaguzi.
Hata wewe pamoja na ujinga wako ulitakiwa uelewe hilo.Hata USA Rais akiwa bado mgombea ana uwezo wa kuteua Majaji wakuu wa Supreme Court ambao wanakuwa muhimu sana kwenye uendeshaji wa Nchi.
Pia katiba yetu inaruhusu afanye hivyo hivyo kujiuliza wakati unajua anayo mamlaka hiyo kikatiba ni upoyoyo.
 
Wakuu samahanini kuna kitu kinaniletea sintofahamu; mbona mke wa jirani yangu siku hizi kawa mzito sana kwenye sita kwa sita? Nishaurini nifanyeje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom