matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
hata mimi nimeanza kushtuka, napenda fursa ila naziangalia kwa makini. maana wengi fursa zao ni kitufanya sisi wengine kuziona fursa.Ukisikia fursa inatangazwa kwa watu wengi, basi ujue hao wengi ndiyo hugeuzwa fursa.
Fursa za mafanikio huwa ni kimya kimya kwa ndugu, jamaa na rafiki tu.
KANGOMBAFursa.
yaani kila kitu kitaongewa wee mwisho wa siku lazima haka kaneno kachomekewe.
Kuna wengine nawasikiliza kwa makini ili nione hiyo fursa unakuta wanazungukwa kuanzia introduction hadi conclusion.
Ukisikia fursa inatangazwa kwa watu wengi, basi ujue hao wengi ndiyo hugeuzwa fursa.
Fursa za mafanikio huwa ni kimya kimya kwa ndugu, jamaa na rafiki tu.
hahahaNa iki kineno kiko sana kwenye midomo ya wenye vijisenti,yaani ukienda kumlilia shida tu utamsikia anakwambia yaani ndigu yangu ujui kuwa fursa zimekuzunguka,ukiskia hili neno basi ujue ataki kukupa msaada.
Hahahahaha kama Bwana Yule anavyotumia fursa kujenga miundombinu na mabombadia kutupiga Watizedi.Na iki kineno kiko sana kwenye midomo ya wenye vijisenti,yaani ukienda kumlilia shida tu utamsikia anakwambia yaani ndigu yangu ujui kuwa fursa zimekuzunguka,ukiskia hili neno basi ujue ataki kukupa msaada.
Kulikoni Mdogo wangu!!yaani wewe