matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,570
- 15,310
Fursa.
yaani kila kitu kitaongewa wee mwisho wa siku lazima haka kaneno kachomekewe.
Kuna wengine nawasikiliza kwa makini ili nione hiyo fursa unakuta wanazunguka kuanzia introduction hadi conclusion.