Hili ndio neno linalotajwa na vyombo vya habari vya kada zote na mitaani katika awamu hii kuliko neno lolote.

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,140
2,000
Na iki kineno kiko sana kwenye midomo ya wenye vijisenti,yaani ukienda kumlilia shida tu utamsikia anakwambia yaani ndigu yangu ujui kuwa fursa zimekuzunguka,ukiskia hili neno basi ujue ataki kukupa msaada.
hahaha
neno jema ila linataka kuwa diluted na kutumika kisiasa.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,418
2,000
Na iki kineno kiko sana kwenye midomo ya wenye vijisenti,yaani ukienda kumlilia shida tu utamsikia anakwambia yaani ndigu yangu ujui kuwa fursa zimekuzunguka,ukiskia hili neno basi ujue ataki kukupa msaada.
Hahahahaha kama Bwana Yule anavyotumia fursa kujenga miundombinu na mabombadia kutupiga Watizedi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom