Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,412
- 26,895
Hapa kila mtu anatakiwa apambane na hali yake. Nilinvyonunua nikajiskia aibu tu nikaona nae afurahie chenji za mshahara wanguHahahaa ndugu kwani gunia hilo?
Ungemnunulia na yeye tu maana angekuwa dume wala usingempa
Sent from my SM using Tapatalk
Endeleza huo upuuzi ipo siku utakuja lia na kusaga meno,wewe si jiwe wala chuma unasafiri na matatizo chungu nzima kwa kuwa tu u mwanadamu,taka amani na watu ulionao kwa wakati huo hujui nini chaweza kutokea mbele safarini,badilika.Huo upuuzi huwa sina nikiwa safarini, kwanza hata kuongea na abiria mwenzangu lazima Vetting ifanyike.
Kilichoniuma zaidi ni kwamba nimetafuna zangu mpaka zimeisha, yeye bado anaendelea kutafuna tu . Nimetamana nimnyang'anyePole aiiseee...maana hakawii kutafuna hapo punje 3 na nyingine anatupa dirishani,kashiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapiUlishadata sio chumaulete
Naona mkuu una tabia za uchoyo na ulafiKilichoniuma zaidi ni kwamba nimetafuna zangu mpaka zimeisha, yeye bado anaendelea kutafuna tu . Nimetamana nimnyang'anye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingependeza mkuu tena naham hatar yaan siach kitu Piga mbupu mpaka wanyooke
Acha kuwaza Shida ndio maana mnapata shida kwa kukaa kuwaza shida.Endeleza huo upuuzi ipo siku utakuja lia na kusaga meno,wewe si jiwe wala chuma unasafiri na matatizo chungu nzima kwa kuwa tu u mwanadamu,taka amani na watu ulionao kwa wakati huo hujui nini chaweza kutokea mbele safarini,badilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu!!.Acha kuwaza Shida ndio maana mnapata shida kwa kukaa kuwaza shida.
Sina muda wa kuongea na mtu.