Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 740
- 1,106
Coco,Hatari sana.. panasikitisha.. ni pakufungwa haraka sana
Ukimaanisha?Panako ndizi hapakosi utomvu
... what is laki 5 kwa mwezi? Kumbe ndio maana ameshindwa kupaendeleza! Mende moja ya kokoto 1.5+ wewe unazungumzia pato la laki 5 kwa mwezi?Coco,
Kwa utafiti wangu hapo mwenye eneo anaingiza zaidi ya laki 5 kwa mwezi lakink hajali afya za watu.
Inasikitisha
Laki 5 kila mwezi kwa miaka mitano unajua ni Tsh ngap wewe?... what is laki 5 kwa mwezi? Kumbe ndio maana ameshindwa kupaendeleza! Mende moja ya kokoto 1.5+ wewe unazungumzia pato la laki 5 kwa mwezi?
Huyo nadhani haijui laki tano labda anadhani ni milioni 50.... what is laki 5 kwa mwezi? Kumbe ndio maana ameshindwa kupaendeleza! Mende moja ya kokoto 1.5+ wewe unazungumzia pato la laki 5 kwa mwezi?