Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
Haka ni Kageto Ka MastaMbona uko kwenye kijigheto cha Simba SC, kumbe hao watani wa Yanga ndio wamekupangishia chumba!???
Asante sanaHongera mnyaki....
Hapo ukililipua rizla ndio itaharibu shoo maana ni jeupeView attachment 1702079
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
@BujibujiView attachment 1702079
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
Anza kuandaa mistari niko mlangoni mwa PM yako!Kama ni KE njoo PM fasta, huu upweke mwaka huu lazima uniachie
Yeah man@Bujibuji