englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hao ndio walikuwa vidume vya enzi hizo,wachezaji wa siku hizi viduchu kama piriton utachezaje mpira japo Spain wameonyesha kuwa sio lazima uwe na mwili mkubwa ndio ucheze mpira.
Huyo wa kwanza kushoto ni marehemu Mohamed Chuma,wa pili ni Saleh Zimbwe na Captain ni King Kibaden kama sijakosea.Saleh Zimbwe alikuwa anapiga mashuti mpaka makipa wanakwepa,marehemu bwana kaka Hamisi Mduruma alikuwa anamwogopa sana Zimbwe enzi hizo.MadameX unawajua hawa?lakini ulikwa bado mdogo ha ha hayefuatia ni Kitwana Manara na kule anaeonekana kidogo ni Abdalla Kibaden. Captain anayemtambulisha Rais Nimeo ha
na kweli umekosea kwani wa kwanza ni sawa mohamed chuma , wa pili ni omar zimbwe na sio nduguye aliyeitwa saleh! Aliyefuatia ni kitwana manara na kule nyuma anaeonekana kidogo ni abdalla kibaden. Captain wao anaemtambulisha rais mimeiry ni abdurahaman juma!!!
Yeah imeshaletwa hapa mara kibao tu.Hii photo kama nishawai iona hapa mwaka jana...ila hizo njemba zilikua zimejazia
unatishaHuyo wa kwanza kushoto ni marehemu Mohamed Chuma,wa pili ni Saleh Zimbwe na Captain ni King Kibaden kama sijakosea.Saleh Zimbwe alikuwa anapiga mashuti mpaka makipa wanakwepa,marehemu bwana kaka Hamisi Mduruma alikuwa anamwogopa sana Zimbwe enzi hizo.MadameX unawajua hawa?lakini ulikwa bado mdogo ha ha ha ha
Yeah imeshaletwa hapa mara kibao tu.