Khalid Aucho Amestaafu Soka La Kimataifa.

Khalid Aucho Amestaafu Soka La Kimataifa.

Jemat

Member
Joined
Nov 9, 2026
Posts
82
Reaction score
223
Wakuu, Kiungo Khalid Aucho ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda (The Cranes) kwa kipindi cha miaka 13.

Aucho ameheshimiwa rasmi baada ya mchezo wa leo dhidi ya Botswana, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika soka la Uganda.

Asante kwa huduma yako, Aucho! 👏🏽
👀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom