Hili ndilo basi alilopaki Morinho jana

Akipaki matatizo asipopaki nae ndo kama haya du........ila imeniuma....
 
Akipaki matatizo asipopaki nae ndo kama haya du........ila imeniuma....
pole mkuu ajali haina kinga,hivi watu wangapi wamekufa hadi sasa nawangapi wamejeruhiwa hahahaaaaaa
 
shenzi zake jumapili aliniharibia siku hadi leo sijachanganya.....
acha ajue machungu ya kufungwa
 
Kosa alilolifanya Mourinho jana ilikuwa ni kuamua kupaki bus badala ya kupaki treni kama alivyofanya wakati wa mechi ya Liverpool.

Tiba
 
Kosa alilolifanya Mourinho jana ilikuwa ni kuamua kupaki bus badala ya kupaki treni kama alivyofanya wakati wa mechi ya Liverpool.

Tiba

Me naona kapaki bajaji
 
shenzi zake jumapili aliniharibia siku hadi leo sijachanganya.....
acha ajue machungu ya kufungwa
ARDA TURAN ni mpenzi wa GALATASARAY,lakini EPL ana-support LIVERPOOL na ndio DREAM TEAM yake ,alikuwa analipiza ya J2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…