Kama umeolewa, tulia na mumeo. Na pia, kama umeoa tulia na mkeo. Kuwa mkweli kwa mwenza wako. Kuhangaika hakuna maana kwan waweza kuja leta mtafaruku ktk familia. Mapenzi ya kweli na ya dhati ni mojawapo ya vitu muhimu vitakavyo fikisha mahusiano yenu ya kindoa mbali.. Baraka kwenu ndugu mlio oa/olewa, mungu awaongoze vyema na awajaalie ya kheri.