Hili nalo neno!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!:pout::A S 13::A S 13::A S thumbs_down:
 
kakakiiza hilo nalo neno!! tunawaombea neema ya Mungu wabadilike waachane na nyumba ndogo
 
Ni kweli kabisa,unakuta mwanaume haachi hela hata ya mboga nyumbani ila kwa nyumba ndogo anajaza vyakula mpaka vinaharibika kwa kukosa watumiaji.
 
Wanaume wako tofauti sana wengine unajua kabisa ana nyumba ndogo ila akirudi home mdogo kama piriton, yaani hata masingi wamtia ukitaka,naona wanaangalia na mtu wa kumletea ukali, lol
yaani anicheat halafu awe mkali nani kasema!
 
Samahani haya MASINGI ndiyo madubwana gani haya?
 
ha ha ha ha ha.....kweli kabisaa......inauma aisee!

Inauma sana wa kwetu..kwi kwi kwi, ila bado my hasband wangu ni teja kwangu..ama sote tu mateja to each other 'for today' maana sijui ya kesho
Mhandisi
 
Samahani haya MASINGI ndiyo madubwana gani haya?
Kumtia m2 singi,ni ktendo cha ku2mia kiganja chako huku vdole vyako vikiwa vimenyooka na kukisukuma kichwa cha mtu.karibu sana uswazi ujfunze mengi
 
Samahani haya MASINGI ndiyo madubwana gani haya?

Huo ni mfano tu na veve, na sio kama ni kweli. kwani niliposema mdogo kama piriton ni kweli anakuwa hivyo? piriton waijua nayo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom