Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili wananchi wasio na sauti waweze kunufaika na mawazo yetu. Inashangaza pale tulio katika JF tunaposhangilia move za hatari kwa taifa letu ambazo mwisho wake ni matatizo kwa wananchi wote.
"Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, halafu unasusia kila kitu bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi inaleta wasiwasi endapo utapata nafasi hiyo utaweza kutoka freely muda wa kupumzika ukiwadia!!!"
Kwa vyovyote vile hiyo siyo sifa nzuri sana kwa waheshimiwa tuliowapigia kura tukidhani wanania njema na Taifa letu.