KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 741
*TANGAZO*
umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi(UVCCM)unawatangazia wanafunzi wote waliokosa mikopo ya Elimu ya juu lakini wana sifa zifuatazo:
1. Wamekidhi kigezo cha ufaulu
2.Yatima
3. Wanaotoka familia maskini
4. Waliopewa asilimia ndogo ya mikopo ilihali wanatoka kwenye vipengele 1-3 hapo juu
Wote hapo watume
-Majina yao
-form index number
-vielelezo vyote kuthibitisha kuwa ni yatima hana wazazi(cheti cha kifo kilichothibitishwa)
-vielelezo vinginevyo vya kuthibitisha hali ya familia anayotoka.
Vyote vitumwe kupitia E mail ya uvccm ambayo ni Uvccm1978@gmail.com
mwisho wa awamu ya kwanza kutuma ni tarehe
4 Novemba 2016. Tunaomba taarifa hii iwafikie walengwa wote na UVCCM TAIFA imechukua jukumu la kusimamia na kusaidia wote waliokosa na wana vielelezo.
Tafadhali hii ni kwa wenye vielelezo tu.
Imetolewa na
*Mtemi Sylvester Yaredi*
*kaimu katibu Idara ya Uhamasishaji Sera Utafiti na Mawasiliano UVCCM*
Nimecopy from whatsapp group

hapa naona kama hii kitu ili pangwa tokea mwanzo. Serikali ijipake matope lakini chama tawala kijipake mafuta. Hii kampeni ya siri