Hili linasababishwa na nini?


Jestina si kuombeana mabaya hapo?
 

Hahahahaaaaaa! Wewe ni kitommbi meen!

After all umetoa ushauri murua sana, but i have a question!

Ivi unahisi nini kinakufanya nyumbani upige shoka moja ndefu na nini kinakufanya upige shoka ndogo ndogo zaidi ya tatu ukiwa nje?
 
Mimi nilifikiri nimekwisha kwa concept hizo hizo Ila Hapa Kati mtoto mmoja mkareee nikatupia kama 6 hivi

Ivi unahisi wa kwanza alikua na tatizo gani hata ushindwe kuperform vizuri?
 

Mkuu hayo yamekujaje?
Sitaki kuamini umevurugwa!

Hembu relax na usome mada vizuri then utoe possible reasons kwanini hali hiyo inatokea.
 
Tumia Ngoka 11...

watu8 sometimes uwe serious bhana!!!!!

btw, Ivi ni kweli hali hiyo ilishawai kukutokea?

Jee ulitumia ulichoshauri hapo?

Na ikiwa hujawai exiperience hali hiyo, kwanini umetoa ushauri huo?
 
Haya mapenzi ya kutaka style mpya kila siku yatawatoa watu roho hakianani, Watu wanashindwa kutambua ule usemi wa ' kubaliana na hali halisi''wanaishia kutafuta maufundi ambayo yanachuja kila kukicha kutokana na umri kusogea,,
 
Mkuu hayo yamekujaje?
Sitaki kuamini umevurugwa!

Hembu relax na usome mada vizuri then utoe possible reasons kwanini hali hiyo inatokea.

Hamu ya kupiga game na mkeo nyumbani ikikata whats next.....................

Na ndio nilichokizungumzia kwenye post yangu!
 
Kwanza mimi iko miss u mingi mingi!!!!!

Pili what is your possible solution ukizingatia mazoea?

Kivipi nisimzoee my buu wangu?

Miss u too tena kwa sana........ hapo lazima location muwe munabadilisha mara kwa mara kuepusha mazoea.......
Babe wako mzoee lkn kitandani mazoea yasiwepo
 
Hahahahaaaaaa! Wewe ni kitommbi meen!

After all umetoa ushauri murua sana, but i have a question!

Ivi unahisi nini kinakufanya nyumbani upige shoka moja ndefu na nini kinakufanya upige shoka ndogo ndogo zaidi ya tatu ukiwa nje?

Wa nje si wa kila siku, ukimpata leo unaweza usimpate tena, kwa hiyo ukila unakula haswa na yeye pia lazima aonyeshe ufundi wote ili sikunyingine uje tena, hata huyu nae ukimpata kila siku, viwango vinabadilika anakuwa kama wanyumbani.
 
Inapotokea performance imepungua unaanza kusikilizia lawama kutoka kwa mwenzio.
 
Nadhan hapa ni tatizo la saikolojia zaidi mental kuliko physically (mazoea) peaneni muda safiri, badilishen mazingira nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…