Hili linasababishwa na nini?

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Habari za hapa.

Inatokea unafanya mapenzi na mschana lakini kadri siku zinavyosonga perfomance yako inapungua. Let say siku za mwanzo ulikuwa unapiga hata shoka nne na bado unadai shoo iendelee. but inafika wakati ukipiga kimoja tu gegedo linagoma kuendelea na gemu ingawa mwenyewe unapenda kuendea.

Chaajabu ni kwamba ukikutana na mwengine (may be yule wa kwanza mlishaachana kutokana na tatizo la kutomudu gemu au kwa sababu yoyote ile) unajikuta unapiga gemu za ukweli na tatizo la kutomudu gemu linakata kabisa.

Nachotaka kuelewa:

Kwa w/me.

Ni nini kinafanya ushindwe kupiga gemu katika scenario ya kwanza na nini kinafanya uperform vizuri kwa scenario ya pili? (ikiwa hujaexperience hiyo kitu hembu toa possible reasons)

Kwa w/ke.

Jee wadada mnalichuliaje suala la me wako kuperform vizuri siku za mwanzo na kuwa kilaza kadri siku zinavyosonga?

Swali kwa wote.

Jee kuna uhusiano na mambo ya kiswahili hapo?
 
Factors vary from Internal & external environment of one person to another!!!

Wakat mwingne Siyo kila mwanaume ama mwanamke ukisex nae lazima utamfikisha ngum!!!!!!!

Maandiko yanasema kila mwanadam anae mmoja wa kufanana nae ata utembee nao 700 haibadili cho2te!!!

Nitarudi badae aiseeee
 
ni kwasababu unakinai bila kujijua...pengine mwanamke hachangamki kama vile kulamba koni, kuikalia n.k. mafujo ya mwanamke ndo yanachochea ngoma yako isilale, akishakuzoea na kuona huwezi kwenda popote basi hajishughulishi...ndo hapo na ww unafubaa.
 

Khaa! Sasa inakuaje tatizo hilo likitokea kwa m/ke mmoja tu? ivi ni kweli hapo itamaanisha kwamba waliobaki unafanana nao?
 
ni kwasababu unakinai bila kujijua...pengine mwanamke hachangamki kama vile kulamba koni, kuikalia n.k. mafujo ya mwanamke ndo yanachochea ngoma yako isilale, akishakuzoea na kuona huwezi kwenda popote basi hajishughulishi...ndo hapo na ww unafubaa.

I concur!

But i feel sometimes wa kwanza anakua na manjonjo mengi tu lakini mwisho wa siju unashindwa kuperform vizuri!

hali hiyo ilishawai kunitokea.
 
Jamani ni enviroment structure tu na kuchokana badala ya kuenjoyiana. Mfanye mpnzi wako kuwa rafiki yako mfuraiyane na kutaniana all z time nk.
 
.....hizi r'ships hizi zinahitaji roho wa Mungu kuzilinda,.....,,,,,,,,,labda na yeye kashakariri.......ukitoka hapa utaenda pale.....ukimgusa hapa,utamgusa pale inachosha..........by the way huyo wa kwanza,unayeenda mpaka goli nne.....nae ukimuweka ndani....mambo yatakuwa yale yale.....
 

Mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hapo kwenye ..... wa Mungu

Mnh ngoja ninyamaze nisiendelee kuropoka lol......sidhani kama roho wa Mungu anapenda uzinzi....sorry kwa niliyemkwaza,,,,,,,..........au mkuu funguka kwa nini hapo nilipotaja roho wa Mungu pamekushtua?
 
ukishafanya mazoea kamwe huwezi kufanya vyema , kumbuka ubunifu ni jambo la msingi....
 
Nikiwa uwanja wa nyumbani huwa napiga moja tu lakini linachukua kama 45 mnts hivi, wote tunatoka burudani tumeridhika. Sasa gemu la nje cup, manjonjo kibao ukiingia tu wanjani bao, mpka mwisho wa gemu kitu tatu au nne kama umekamia sana tano. Low performance nyumani haimaanishi kuwa ushakwisha, ni vizuri mara moja moja kupiga mechi za nje kujikumbushia performance.
 
Penzi bora hujengwa na kustawishwa vyema na ubunifu baina ya wapendanao....lazima kila mmoja wenu atambue mwenzie anapenda au anahitaji nini na kwa wakati gani...??
Usiruhusu mwenzi wako akukariri na kukuzoea sana,, hapa namaanisha kuwa , kabla hamjaingia mzigoni kila mmoja anakuwa ameshakariri...kuwa jamaa ataanza na kiss then romance then anachomeka dushe ...anapiga bao na mchezo unaishia hivyo....
Kwa kawaida mwanadamu anakuwa na shauku na kutaka kujaribu kitu kipya au ambacho ni kigeni kwake....kwa hiyo kutokuwa wabunifu kutasababisha wapendao wachokane...na hatimaye penzi kuvunjika.....
 
Mimi nilifikiri nimekwisha kwa concept hizo hizo Ila Hapa Kati mtoto mmoja mkareee nikatupia kama 6 hivi
 
Halafu unakuta jitu linadai nimeoa na nina mke na watoto kadhaaa!

Lakini unalikuta lina michepuko hata mi3

Kwa hiyo ndoa ndo imefanywa kivuli cha ufuska ama?????

Kama unapenda umalaya wewe usioe endelea kupambana na ulipotokea tuuu uone kama utapashinda!!
 
ukishafanya mazoea kamwe huwezi kufanya vyema , kumbuka ubunifu ni jambo la msingi....

Katika huo ubunifu ni pamoja na kubadilisha uwanja wa game,sii lazima kila siku home,kitanda kile kile...aaagh sometime hata in lodges,gest houses etc....

Location nayo inamatter sanaaa bila kusahau styles tofauti.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…