Ushauri mzuri ila inahitaji roho ya chuma kidogo... Welll mi kwa mawazo yangu naona kama hii ya kutaka ushahidi kwa kumkamata red handed yaweza isiwork as kama jamaa ana kazi za nje inawzekana kabisa asiwe anakuja nayo/nazo hapo nyumbani akawa anamaliza shughuli zake huko huko nje... UKizingatia hapo mnapokaa lazima kutakuwa na majirani au rafiki zako wanaoweza kukupa ishu. So nafikiri cha maana hapa ni kuongea nae. Wewe unamjua vizuri mume wako so itakuwa rahisi kumuelewa dhamira yake katika hili. Pia mshirikishe MUngu katika hatua zote za kulitatua hili. Nakutakia kila la kheriWengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.
Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said.
Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda, fanya uchunguzi wa kina utabaini ukweli. Umesema upo mkoa wa jirani na Dar, sasa kama una-moyo wa ujasiri sema hivi: panga safari ya kustukiza nenda kwa mume wako-dar lakini endapo nitamkuta na mwanamke mwingine zaidi yako usiwe na hasira yeyote ile-na umuombe mungu akuongoze vema- muda wa kufika home iwe ni usiku atleast saa 4 hivi piga hodi home au kama una-funguo spare we fungua mlango choma ndani.
Kama ukimkuta yupo alone take easy tu, akiuliza mwambie gari iliharibika ndio maana nimekuja muda huu, ukimkuta na mwanamke mwingine wewe wala usijali-take simple na uone je huyo mwanamke atalala humo ndani au itakuaje na yeye je atasema nini? Wewe lala asubuhi amka kama usafi fanya kisha muandalie chai anywe! Sasa mwambie tena kwa mahaba dah mume wangu nakupenda sana na muonyeshee kweli unampenda. Sasa utaona jinsi atakavyokuwa anajikanyaga kutaka kusawazisha mambo yake wakati wewe hujamuuliza. Hapo jibu utakuwa umelipata na yeye hatarudia huo mchezo kama anao. Still bado nadhani kwa uhakika kutakuwa ma mwanamke ambaye wewe anakufahamu fika na anajua upo mkoani hivyo yeye anaona ni bora au muda muafaka kufanya apendavyo na mumeo.
Nimeongea hilo kwa sababu ya uzeefu niliokuwa nao wa kubaini matatizo madogo madogo kama ya mapenzi ambayo wengi huwa wanatatizwa nayo.
NB: If you will do that, plse usiwe na hasira hata chembe na umuombe mungu wako akuongoze ili hatimaye ujue u-kweli na hata ukijua bado mume wako utampenda zaidi ili yeye ajione mjinga na kisha ajirudi
Wengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.

Pole sana my dear,ukisikia wanawake wanatufundisha sometimes wanaume ni kama watoto ndo uelewe.Sioni point ya kukuunga mkono ukafanye hiyo kazi nyingine then hilo limpunguzie majukumu yawe yako hasa ya watoto.Amejisahau,unahitaji kuzungumza nae ili ujue kama suala la kulea watoto sasa ni lako binafsi. Kuna wanawake mjini wanatumia hata dawa kukwamua hela za waume wa watu,sisi tutakushauri tu na pengine hatujui kinachoendelea kwenye akili yake,LEAN ON GOD,na mlilie sana,yeye anaona sirini tusikoona sisi,uwe mvumilivu kidogo atakujibu na umuombe pia akupe nguvu ya kupokea majibu ya huyo mwanaume kubadilika,pokea,tulia na tafuta ushauri na support ya walio muhimu kwake kwenye kuzungumza nae kwa kuwa umesema ulishazungumza nae.....Kazi ni nguvu yako siwezi kushauri uache,tunapitia mapito,ukiacha na asitoe hiyo ya matumizi???Pia mumeo ana marafiki,najua wanaume hawasemagi ubaya wa wenzao but yupo mmoja anaweza kuambia ukweli au hata mke wa rafiki ya mumeo,mchunguze,isije ikawa kuna nguvu zinamfunga........Mungu akusaidie,akupe amani,ujasiri na nguvu katika wakati huu na akupe majibu na suluhisho la kudumu.
huu ushauri mzuri,lakini mmh,ni ngumu kuukubali. hasa hapo uliposema,umkuye mwanamke ndani utayarishe chai,na umwambie mume maneno ya mahaba.haya maneno kuyaandika ni easy kuliko kuutekeleza huu ushauri.ukiangalia wewe umetoka mkoa mwengine.unamtembelea mume wako,umeacha watoto,umemfuata yeye na umkute na mwengine,uwe calm tu mmmhWengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.
Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said.
Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda, fanya uchunguzi wa kina utabaini ukweli. Umesema upo mkoa wa jirani na Dar, sasa kama una-moyo wa ujasiri sema hivi: panga safari ya kustukiza nenda kwa mume wako-dar lakini endapo nitamkuta na mwanamke mwingine zaidi yako usiwe na hasira yeyote ile-na umuombe mungu akuongoze vema- muda wa kufika home iwe ni usiku atleast saa 4 hivi piga hodi home au kama una-funguo spare we fungua mlango choma ndani.
Kama ukimkuta yupo alone take easy tu, akiuliza mwambie gari iliharibika ndio maana nimekuja muda huu, ukimkuta na mwanamke mwingine wewe wala usijali-take simple na uone je huyo mwanamke atalala humo ndani au itakuaje na yeye je atasema nini? Wewe lala asubuhi amka kama usafi fanya kisha muandalie chai anywe! Sasa mwambie tena kwa mahaba dah mume wangu nakupenda sana na muonyeshee kweli unampenda. Sasa utaona jinsi atakavyokuwa anajikanyaga kutaka kusawazisha mambo yake wakati wewe hujamuuliza. Hapo jibu utakuwa umelipata na yeye hatarudia huo mchezo kama anao. Still bado nadhani kwa uhakika kutakuwa ma mwanamke ambaye wewe anakufahamu fika na anajua upo mkoani hivyo yeye anaona ni bora au muda muafaka kufanya apendavyo na mumeo.
Nimeongea hilo kwa sababu ya uzeefu niliokuwa nao wa kubaini matatizo madogo madogo kama ya mapenzi ambayo wengi huwa wanatatizwa nayo.
NB: If you will do that, plse usiwe na hasira hata chembe na umuombe mungu wako akuongoze ili hatimaye ujue u-kweli na hata ukijua bado mume wako utampenda zaidi ili yeye ajione mjinga na kisha ajirudi
Only God can! asikuchanganye saaaaaaana...
asanteni kwa ushauri wenu, ntaufanyia kazi
Acha kazi!
ni mume wangu wa ndoa ya kanisani yenye miaka 4 na watoto 2rain,
kwanza pole kwa yaliyokukuta hadi sasa
ushauri wa wengi hapa ni mzuri sina sabau ya kurudia
Ila hapo upo kwenye ndoa kabisa ya cheti ama mnaishi tu pamoja....nauliza ivo sababu ijapokuwa umesema una mume, sijaona mahali ulipogusia kuwa ni wa ndoa kabisa na pengine ni ya namna gani?
ni mume wangu wa ndoa ya kanisani yenye miaka 4 na watoto 2
Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili.
Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi tu tusitengane, au asione nimejali kazi zaidi yake, lakini alinitia moyo na kuniambia niende kufanya kazi, akani assure kuwa kila kitu kitakuwa sawa, tutakuwa tunaonana kila mara maana mikoa hii ni ya jirani. Cha kushangaza mwenzangu hataki kabisa kuja kutusalimia, yani nisipoenda mimi dar basi, yeye wala hashtuki hata weekend, watoto ninao mimi huku, sasa hii inamaanisha nini? kwa ufupi hajihusishi na kitu chochote kuhusu sisi, hatusaidii hata kodi ya nyumba japo yeye dar halipi kodi, wala matumizi wala nini, nothing. hata nikienda kmimi hatoi hata pesa ya nauli ya mimi kurudia huku wala hajali kama nalazimika kusafiri na watoto sometimes ili wamwone baba yao.
Nifanyeje? nimechanganyikiwa hapa nilipo, au ndo njia ya kuget rid of me? kanichoka? au ndo nishawaachia wenzangu huko? niache kazi nirudi tubanane? nipeni tafsiri ya haya, is it normal kwa familia zingine? pls nipeni uzoefu wenu.
abiria chunga mzigo wako.